Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AAGIZA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA ZA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko akizungumza na wananchi mara baada ya kuwasili katika Jimbo la Bukombe mkoani Geita tarehe 24 Septemba, 2023 kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Wananchi wa Jimbo la Bukombe wakimsikiliza  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Jimbo la Bukombe mkoani Geita tarehe 24 Septemba, 2023 kwa ajili ya ziara ya kikazi.

…….

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
la Bukombe, Dkt. Doto Biteko ameanza ziara ya kikazi katika jimbo hilo
lililoko mkoani Geita ikiwa ni ziara ya kwanza kufanyika  kutoka
ateuliwe na kuapishwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Mara baada ya kuwasili katika Jimbo hilo tarehe 24 Septemba, 2023,
Dkt.Biteko alipokelewa na wananchi wa Jimbo hilo pamoja na viongozi
mbalimbali katika Wilaya Bukombe na Mkoa wa Geita.

Akizugumza  katika Mkutano wa hadhara, Dkt.Biteko amemshukuru Rais,
Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kuona kuwa anaweza kumsaidia
katika majukumu aliyokabidhiwa na kuahidi kuwa, atatekeleza majukumu
yake kwa ufanisi katika kuwatumikia wananchi ili kuitendea haki imani
iliyooneshwa kwake.

Amesema kuwa, chini ya uongozi wa Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kila
kitu kilichopangwa kufanyika  kinaendelea kufanyika kutokana fedha
anazotoa katika  miradi ya sekta mbalimbali ikiwemo mradi wa umeme wa
Julius Nyerere (MW 2115), ujenzi wa Daraja wa Busisi, ununuzi wa
ndege, madarasa, vituo vya afya, utalii n.k.

Kutokana na hilo, Dkt. Biteko amewataka watendaji na watumishi nchini
kusimamia matumizi sahihi ya fedha za Serikali kwani fedha hizo ndizo
zinategemewa na watanzania katika kuwaletea maendeleo.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi wa Mkoa wa Geita
wamemshukuru Rais,  Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini Dkt.Doto
Biteko katika nafasi hiyo kubwa na adhimu na kwamba wana imani kuwa
ataitendea haki nafasi hiyo kutokana na historia yake ya uchapakazi na
uadilifu.

Viongozi hao wakiwemo Wabunge na Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wa Geita
wamemshukuru Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi
mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara wilayani Chato, ujenzi wa Chuo
cha VETA wilayani Nyang’hwale na upelekaji umeme vijijini katika
vijiji vya Mkoa huo.

Kwa upande wake, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesifu juhudi
zilizofanywa na Dkt.Biteko wakati akihudumu kama Waziri wa Madini  na
kueleleza kuwa amesaidia kuinua mchango sekta ya madini katika uchumi
wa nchi na ameahidi kuwa ataendeleza misingi hiyo mizuri ikiwemo ya
kufanya utafiti wa madini katika eneo lote la nchi ili wachimbaji
wachimbe madini kwa uhakika na hivyo kuongeza mapato ya nchi.

Aidha, ameendelea kusisitiza kuwa, hatalifanyia mzaha suala la
utoroshaji wa  madini nchini na kwamba wote watakaotorosha madini
watachukuliwa hatua za kisheria kwani wanakosesha nchi mapato.

kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amemshukuru
Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za kugharamia miradi
mbalimbali ya maendeleo na huduma za kijamii ikiwemo shule, hospitali
na umeme katika Mkoa Geita.

About the author

Alex Sonna