Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

bahiscasino

ultrabet

vaycasino

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

casibom güncel giriş

jojobet giriş

sweet bonanza

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

cashwin

radissonbet

amgbahis

holiganbet

romabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

jojobet

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk ifşa

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

holiganbet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

sonbahis

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

pusulabet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

Hacklink panel

tümbet

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

maritbet

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA WAAJIRI NCHINI KUSIMAMIA MAADILI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene,akizungumza wakati akifungua  kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene  amewataka waajiri nchini kuhakikisha wanasimamia na kuimarisha uzingatiaji wa maadili ya viongozi wa umma na watumishi wa Umma.

Hayo  ameyasema hayo leo Septemba 21,2023 jijini Dodoma wakati akifungua  kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora Waziri Simbachawene amesema Ofisi yake itaendelea kushirikiana na Mamlaka simamizi za maadili ya kitaaluma kutoa ushauri wa kitaalamu pale itakapohitajika

“Kikao hiki cha wadau katika usimamizi wa maadili ni kikao muhimu kinachosaidia nchi katika kuimarisha usimamizi wa rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma. Hivyo, nichukue fursa hii kuwataka waajiri nchini kuhakikisha wanasimamia na kuimarisha uzingatiaji wa Maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi wa Umma,”amesema Waziri Simbachawene.

Pia,Wadau wa Maadili ikiwemo Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma kuendelea kushirikiana na OR- MUUUB kujenga uelewa wa Miongozo mipya ya usimamizi wa maadili kwa watumishi iliyotolewa na ofisi hii.

“Mamlaka za nidhamu kuendelea kufuatilia na kuchukua kwa wakati hatua stahiki dhidi ya vitendo vya ukiukwaji wa Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma,”amesema Waziri Simbachawene.

Vilevile,kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio na Mpango Kazi wa Kikao kilichopita ili kubaini mafanikio na changamoto zilijitokeza katika utekelezaji wa maazimio hayo na kuja na mapendekezo ambayo yatasaidia Serikali kuimarisha uadilifu katika Utumishi wa Umma.

“Kuhimiza matumizi ya Serikali Mtandao ambayo imeonesha mafanikio makubwa katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma,”amesema Waziri Simbachawene.

Waziri Simbachawene amesema  malengo mahsusi ya kikao kazi hicho  ni kubadilishana uzoefu na taarifa zinazojumuisha mafanikio na changamoto za usimamizi wa maadili katika Utumishi wa Umma.

Pia,kubuni na kuweka mikakati ya kuimarisha Maadili ya Utumishi wa Umma na kitaaluma kama sehemu ya kutatua changamoto.

“Natoa rai kwenu, kwamba mikakati hiyo iandaliwe kwa lengo la kukuza Uwajibikaji na Usikivu wa Umma kama moja ya msingi wa Utawala Bora.

Amesema wajibu wa kusimamia Maadili ya Watumishi wa Umma na Utawala Bora katika Utumishi wa Umma ni suala mtambuka ambalo liko chini ya Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora kwa kusaidiana na Taasisi Simamizi za Maadili na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma.

“Hivyo, kwa kuzingatia dhamana mliyopewa katika kusimamia Maadili, mnapaswa kuendelea kushirikiana na kuwekeza katika mikakati ambayo itachangia kukuza Uwajibikaji na Usikivu wa watoa huduma kwa wananchi hususani katika maeneo yanayoigusa jamii moja kwa moja au kulalamikiwa mara kwa mara,”amesema Waziri Simbachawene.

Ameyataja maeneo hayo ni pamoja na sekta ya afya, elimu, ujenzi, ardhi, manunuzi na ugavi.  

Amesema Azma ya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuona  Utumishi wa Umma wenye usikivu na uwajibikaji wa hiari kwa ustawi kwa wananchi wa Tanzania.

“Hivyo, ili kuendana na maono hayo ya Mhe. Rais, Ofisi yangu imekuwa ikitumia njia mbalimbali ikiwemo kuweka mifumo ya uwajibikaji na kuzishirikisha Taasisi Simamizi za Maadili na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma katika ukuzaji na ufuatiliaji wa uzingatiaji wa Maadili katika Utumishi wa Umma.

Amesema ushirikiano huo, unaiwezesha Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kufahamu hali halisi ya uadilifu katika Utumishi wa Umma na kuchukua hatua stahiki.

Amesema Matarajio hayo yatafikiwa iwapo  ushikiano  utatafsiriwa kwa kuandaa, kuhuisha na kutoa Miongozo mbalimbali ya kusimamia Uadilifu katika Utumishi wa Umma.

Pia,kujenga uelewa wa miongozo hiyo kwa umma; na kufanya ufuatiliaji wa uzingatiaji wa Maadili kwa mujibu wa miongozo.

“Na kama mnavyofahamu hivi karibuni ofisi yangu ilihuisha Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma za mwaka 2005 na Mwongozo wa Ushughulikiaji wa Malalamiko ya Wananchi wa mwaka 2012.

Amesema ili kutokomeza malalamiko ambayo yanaelekezwa katika Taasisi za Umma,  Taasisi Simamizi za  Maadili na Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma wanapaswa kufanyia kazi maeneo mawili.

Ameyataja maeneo hayo ni kutoa elimu kwa wanataaluma ili wazingatie miiko ya taaluma zao na  mafunzo ya Maadili kwa watumishi wa umma ili wazingatie Sheria, Kanuni na Taratibu zinazosimamia Maadili ya utendaji kazi na yale ya kitaaluma.

Pia, kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa uzingatiaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu ambapo Mamlaka Simamizi za Maadili ya Kitaaluma zinapaswa kusimamia na kuchukua hatua stahiki kwa wakati kwa wale wanaokiuka Maadili ya taaluma zao.

Vilevile, kushughulikia kwa wakati malalamiko yanayotokana na Uvunjifu wa Maadili kwa lengo la kuendelea kujenga imani kwa wananchi na kuongeza uwajibikaji na usikivu.

Kwa upande wa Taasisi Simamizi za Maadili na Utawala Bora, wanatakiwa  kufuatilia uzingatiaji wa Maadili ya Viongozi na Watumishi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zinazoongoza taasisi.

Kwa upande wake Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejmenti ya utumishi wa umma na utawala bora,Bw. Xavier Daudi,amesema lengo la kikao hicho ni kubadilishana uzoefu na kuweza kushirikiana ili kuweza  kufahamu changamoto walizonazo na kama ni mafanikio na masuala mapya yanayojitiokeza katika utumishi wa umma lakini lengo letu ni kurudisha maadili tunayotarajia katika utumishi wa umma.

”Kikao hiki tutapokea mada mbalimbali hivyo naamini mada zitakazowasilishwa sio tu zitaleta chachu katika majadiliano lakini pia zitasaidia kuleta suluhisho na kupata ufumbuzi wa changamoto mbalimbali za maadili zinazotukabili.”amesema Bw.Daudi

 

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene,akizungumza wakati akifungua  kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejmenti ya utumishi wa umma na utawala bora,Bw. Xavier Daudi,akielezea lengo la kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akifungua  kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene,akiwakabidhi Viongozi mbalimbali Kitabu cha Kanuni za Maadili mara baada ya kufungua  kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe.George Simbachawene,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua   kikao cha  kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Septemba 21 hadi 22 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna