Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonuslarΔ± veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ΰΈ‹ΰΈ±ΰΈšΰΉ„ΰΈ—ΰΈ’

vdcasino

xxxΰΉ€ΰΈ’ΰΉ‡ΰΈ”ΰΈ’ΰΈ±ΰΈš

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

sΓΌpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

sΓΌpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Δ°majbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

π—§π—”π—”π—¦π—œπ—¦π—œ 𝗭𝗔 𝗨𝗠𝗠𝗔 π—­π—”π—¦π—œπ—¦π—œπ—§π—œπ—­π—ͺ𝗔 π—žπ—¨π—§π—¨π— π—œπ—” π— π—œπ—™π—¨π— π—’ π—œπ—‘π—”π—¬π—’π—§π—˜π—‘π—šπ—˜π—‘π—˜π—­π—ͺ𝗔 𝗑𝗔 𝗲-π—šπ—”

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma.

……………….

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene ametoa rai kwa Taasisi za Umma kuacha kununua na kutumia mifumo ya TEHAMA kutoka nje ya nchi na badala yake kuanza kutumia mifumo inayotengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma,Waziri Simbachawene amesema wakati umefika kwa Taasisi na Serikali kwa ujumla kuanza kutegemea mifumo inayotengenezwa na wataalam wa ndani waliopo chini ya eGA.

Waziri Simbachawene amesema kwa sasa eGA tayari ina mifumo mbalimbali inayorahisisha utendaji kazi wa Taasisi na Idara za Serikali hivyo ni muhimu mifumo hiyo kutumika ili kuongeza ufanisi.

β€œIpo baadhi ya mifumo ambayo tunajivunia hadi sasa inatokana na shughuli za ubunifu na utafiti zilizofanywa na vijana wetu kutoka katika kituo chetu hiki kwa weledi na utalaamu mkubwa, kazi ambazo hapo awali zilikuwa lazima zifanywe na wataalamu kutoka nje ya nchi.

Mfano Mfumo wa e-Mrejesho, Mfumo wa e-Mikutano, Mfumo wa Oxygen, Mfumo wa e-Board na e-Mrejesho ambao unasaidia sana wananchi kuwasiliana na Serikali”. Amesema Simbachawene.

Akizungumzia kituo hicho cha Utafiti na Ubunifu, Waziri Simbachawene amesema kuwa sasa Tanzania ipo kwenye Dunia ya Uchumi wa Kidijitali ambapo TEHAMA ni nyenzo muhimu hivyo Serikali imewekeza na kuweka kipaumbele kwenye matumizi ya TEHAMA kwa kujenga miundombinu na mifumo inayosaidia kuboresha ufanisi wa uendeshaji shughuli zake lakini pia kutoa huduma kwa Umma

β€œWizara kupitia eGA inasimamia na kukiboresha Kituo hiki ili kifanye tafiti mbalimbali hasa kwenye teknolojia mpya kama matumizi ya β€˜Blockchain technologies’, Machine Learning, Artificial Intelligence na Internet of Things (IoT) ili na sisi tusibaki nyuma kama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyoelekeza” ameongeza Simbachawene.

Pia Mh.Simbachawene amewataka wanafunzi hao waliochaguliwa kushiriki program hiyo maalumu inayoendeshwa na kituo hicho kutumia ujuzi na uzoefu wanaoupata uwasaidie katika soko la ajira ikiwemo kujiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzao.

β€œNafasi hii mliyopata ni muhimu sana kwenu nyie lakini kwa manufaa ya taifa letu hivyo itumieni kujifunza na kupata ujuzi utakaosaidia taifa na uchumi wetu” ameeleza Waziri Simbachawene.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Malamka ya Serikali Mtandao Mhandisi Benedict Ndomba ameongeza kuwa kupitia ubunifu, utafiti na mazoezi katika eneo la TEHAMA inawezesha nchi kushindana katika uchumi wa kidijitali kimataifa.

β€œKuna mifumo mikubwa na shirikishi ambayo imetoka katika kituo hiki ikiwemo mfumo wa e-Mrejesho ambao tayari umetambuliwa na Benki ya Dunia kama mfumo bora unaotoa ushirikishaji kwa wananchi”. Amefanunua Mhandisi Ndomba.

Mhandisi.Ndomba ameongeza kuwa Mamlaka ya Serikali Mtandao tayari imeshanunua eneo la ekari nane (8) katika eneo la Kikombo jijini Dodoma kwa ajili kujenga kituo kikubwa zaidi kwa ajili ya kupanua shughuli za Ubunifu na Utafiti katika sekta ya TEHAMA.

About the author

Alex Sonna