Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satฤฑn al

Hacklink satฤฑn al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satฤฑn al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satฤฑn al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektรถr

vdcasino giriลŸ

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriลŸ

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet gรผncel giriลŸ

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriลŸ

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriลŸ

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriลŸ

vdcasino giriลŸ

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriลŸ

mavibet

holiganbet gรผncel giriลŸ

mavibet giriลŸ

piabellacasino giriลŸ

piabellacasino

artemisbet giriลŸ

mavibet

mavibet giriลŸ

piabellacasino

piabellacasino giriลŸ

piabellacasino

deneme bonuslarฤฑ veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriลŸ

festwin

doeda

av เธ‹เธฑเธšเน„เธ—เธข

vdcasino

xxxเน€เธขเน‡เธ”เธขเธฑเธš

jojobet gรผncel giriลŸ

jojobet gรผncel giriลŸ

casibom gรผncel giriลŸ

casibom giriลŸ

casibom

grandpashabet giriลŸ

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriลŸ

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriลŸ

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriลŸ

casibom giriลŸ

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padiลŸahbet

marsbahis

kralbet giriลŸ

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuลŸturucu satฤฑn al

jojobet gรผncel giriลŸ

ฤฐmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriลŸ

casibom

deneme bonusu

casibom giriลŸ

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriลŸ

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

๐—ง๐—”๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐— ๐— ๐—” ๐—ญ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—œ๐—ญ๐—ช๐—” ๐—ž๐—จ๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐— ๐—œ๐—™๐—จ๐— ๐—ข ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜๐—ก๐—š๐—˜๐—ก๐—˜๐—ญ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฒ-๐—š๐—”

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma.

……………….

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh.George Simbachawene ametoa rai kwa Taasisi za Umma kuacha kununua na kutumia mifumo ya TEHAMA kutoka nje ya nchi na badala yake kuanza kutumia mifumo inayotengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Akizunguza na Menejimenti na Watumishi wa eGA pamoja na Wanafunzi 100 kutoka vyuo mbalimbali nchini waliopo katika program maalum katika kituo cha Utafiti na Ubunifu cha Mamlaka kilichopo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) jijini Dodoma,Waziri Simbachawene amesema wakati umefika kwa Taasisi na Serikali kwa ujumla kuanza kutegemea mifumo inayotengenezwa na wataalam wa ndani waliopo chini ya eGA.

Waziri Simbachawene amesema kwa sasa eGA tayari ina mifumo mbalimbali inayorahisisha utendaji kazi wa Taasisi na Idara za Serikali hivyo ni muhimu mifumo hiyo kutumika ili kuongeza ufanisi.

โ€œIpo baadhi ya mifumo ambayo tunajivunia hadi sasa inatokana na shughuli za ubunifu na utafiti zilizofanywa na vijana wetu kutoka katika kituo chetu hiki kwa weledi na utalaamu mkubwa, kazi ambazo hapo awali zilikuwa lazima zifanywe na wataalamu kutoka nje ya nchi.

Mfano Mfumo wa e-Mrejesho, Mfumo wa e-Mikutano, Mfumo wa Oxygen, Mfumo wa e-Board na e-Mrejesho ambao unasaidia sana wananchi kuwasiliana na Serikaliโ€. Amesema Simbachawene.

Akizungumzia kituo hicho cha Utafiti na Ubunifu, Waziri Simbachawene amesema kuwa sasa Tanzania ipo kwenye Dunia ya Uchumi wa Kidijitali ambapo TEHAMA ni nyenzo muhimu hivyo Serikali imewekeza na kuweka kipaumbele kwenye matumizi ya TEHAMA kwa kujenga miundombinu na mifumo inayosaidia kuboresha ufanisi wa uendeshaji shughuli zake lakini pia kutoa huduma kwa Umma

โ€œWizara kupitia eGA inasimamia na kukiboresha Kituo hiki ili kifanye tafiti mbalimbali hasa kwenye teknolojia mpya kama matumizi ya โ€˜Blockchain technologiesโ€™, Machine Learning, Artificial Intelligence na Internet of Things (IoT) ili na sisi tusibaki nyuma kama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyoelekezaโ€ ameongeza Simbachawene.

Pia Mh.Simbachawene amewataka wanafunzi hao waliochaguliwa kushiriki program hiyo maalumu inayoendeshwa na kituo hicho kutumia ujuzi na uzoefu wanaoupata uwasaidie katika soko la ajira ikiwemo kujiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzao.

โ€œNafasi hii mliyopata ni muhimu sana kwenu nyie lakini kwa manufaa ya taifa letu hivyo itumieni kujifunza na kupata ujuzi utakaosaidia taifa na uchumi wetuโ€ ameeleza Waziri Simbachawene.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Malamka ya Serikali Mtandao Mhandisi Benedict Ndomba ameongeza kuwa kupitia ubunifu, utafiti na mazoezi katika eneo la TEHAMA inawezesha nchi kushindana katika uchumi wa kidijitali kimataifa.

โ€œKuna mifumo mikubwa na shirikishi ambayo imetoka katika kituo hiki ikiwemo mfumo wa e-Mrejesho ambao tayari umetambuliwa na Benki ya Dunia kama mfumo bora unaotoa ushirikishaji kwa wananchiโ€. Amefanunua Mhandisi Ndomba.

Mhandisi.Ndomba ameongeza kuwa Mamlaka ya Serikali Mtandao tayari imeshanunua eneo la ekari nane (8) katika eneo la Kikombo jijini Dodoma kwa ajili kujenga kituo kikubwa zaidi kwa ajili ya kupanua shughuli za Ubunifu na Utafiti katika sekta ya TEHAMA.

About the author

Alex Sonna