Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA WAZIRI MKUU WA HUNGARY

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Hungary Mhe. Viktor Orbàn mazungumzo  yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongozana na Waziri Mkuu wa Hungary Mhe. Viktor Orbàn wakati alipowasili katika Ofisi za Waziri Mkuu huyo Jijini Budapest nchini Hungary.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Hungary Mhe. Viktor Orbàn kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Hungary Mhe. Viktor Orbàn mazungumzo  yaliofanyika Jijini Budapest nchini Hungary.

About the author

mzalendoeditor