Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA APONGEZA JITIHADA ZA BENKI YA KCB KUWEZESHA MAFUNZO YA AMALI KWA VIJANA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na wawakilishi wa Benki ya KCB Tanzania waliofika kuzungumzia Programu ya vijana kupata mafunzo ya Amali kupitia program ya Tujiari leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akimsikiliza  Mkuu wa Idara ya Masoko, Mawasiliano, Uhusiano na Maendeleo ya Jamii ya Benki wa Benki ya KCB Tanzania Bi.Christina Manyenye akizungumza kuhusu Programu ya vijana kupata mafunzo ya Amali kupitia program ya Tujiari  leo  Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwa katika picha ya pamoja na  wawakilishi wa Benki ya KCB Tanzania  mara baada ya kufanya mazungumzo nao kuhusu Programu ya vijana kupata mafunzo ya Amali kupitia program ya Tujiari leo Septemba 14,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya KCB Tanzania kwa namna inavyowezesha vijana kupata mafunzo ya Amali kupitia program ya Tujiari.

Akizungumza jijini Dodoma na wawakilishi wa KCB waliofika kuzungumzia programu hiyo, Waziri Mkenda amesema jitihada zinazofanyika na Benki hiyo zinaunga mkono juhudi za Serikali katika kuhakikisha vijana wanapata ujuzi.

Amesema mafunzo ya amali ni muhimu sana na kwamba vijana wana kiu kubwa ya kupata mafunzo hayo kwa kuwa yanamuandaa kijana kujiajiri au kuajiriwa.

“Mnachofanya KCB kinatupa picha kubwa ya kile ambacho Rais amelekeza, kuongeza fursa ya mafunzo ya amali, tunaahidi tutafanya nanyi kazi, tunataka tushirikiane katika kuwafuatilia vijana wanapomaliza mafunzo na juhudi mnazowasaidia kujiajiri ili kuona mafanikio yakoje na nini tunaweza kufanya katika mitaala yetu ili kuboresha,” amesema Prof. Mkenda

Profesa Mkenda amewaalika wadau wengine kuendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha tunawekeza kwenye elimu ili kupata nguvu kazi yenye ujuzi na kuchangia katika maendeleo ya nchi.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo ameishukuru Benki ya KCB Tanzania kwa ushirikiano ambao wameonesha kwa Serikali kwa kuwasaidia vijana kupata ujuzi.

“Niwasihii vijana ambao mtakwenda kusoma kupitia program ya Tujiajiri inayotolewa na Benki ya KCB Tanzania kuwa makini na mafunzo haya kwa kuwa yatawasaidia kusimama kama kijana wa kitanzania kutengeza maisha yenu na kuwa na mchango katika maendeleo ya Taifa”, amesema Prof. Nombo

Akizungumzia Programu ya Tujiajiri inayotolewa na Benki ya KCB Tanzania Mkuu wa Idara ya Masoko, Mawasiliano, Uhusiano na Maendeleo ya Jamii ya Benki hiyo Christina Manyenye amesema Program hiyo ilianza mwaka 2016 na kwamba ina lengo la kubadilisha mawazo ya kijana wa kitanzania kuacha kufikiria kuajiriwa na badala yake afikirie kujiajiri.

Amesema program hii ni endelevu na kwamba inawafadhili vijana asilimia 100 ya ada, vitendea kazi, mavazi yanayotumika kwenye mafunzo kwa vitendo na kwamba baada ya kuhitimu masomo yao wanaendelea kuwafuatilia katika biashara zao kama walezi kwa kuwapa ushauri na wakati mwingine mitaji.

“Kwa mwaka huu tutawezesha mafunzo kwa vijana 5000 kupitia vyuo vya Ufundi na mafunzo ya Ufundi Stadi Tanzania Bara na Zanzibar. Baadhi ya Mikoa nufaika Tanzania bara kuwa ni Dar es Salaam, Mwanza, Arusha Morogoro Kilimanjaro na Geita,”amesema Christina.

About the author

Alex Sonna