slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

pusulabet giriş

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

betwoon giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

tipobet

lunabet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

marsbahis

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

betasus

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

holiganbet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

Hacklink panel

Casibom

Featured Kitaifa

WATANZANIA WAPATA FURSA KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI THAILAND

Written by Alex Sonna

Bangkok- Thailand

Ujumbe wa Tanzania Nchini Thailand ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umejifunza namna ya kuendesha Minada ya Kimataifa ya Madini ya Vito kutoka Kampuni kubwa ya Bonas Group ya Ubelgiji yenye uzoefu wa miaka 150 katika shughuli hizo.

Akizungumzia lengo la kushiriki katika mnada huo, Mbibo amesema ni kuona namna kampuni hiyo inavyoendesha minada ya kimataifa ambapo wanunuzi kutoka maeneo mbalimbali duniani hufika kwa ajili ya kuangalia na kununua madini ghafi, yaliyokatwa na kung’arishwa kutoka nchi mbalimbali duniani zinazozalisha madini ya vito Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi hizo.

Ameongeza kwamba , Wizara imeendelea kupata uzoefu wa namna ya kuendesha minada hiyo kwa tija ikiwemo kutafuta wadau wa kuiendesha ikiwa ni maandalizi ya kuirejesha tena baada ya kuisitisha kwa muda pamoja na kurejesha upya maonesho ya Madini ya Vito na Usonara maarufu kwa jina la Arusha Gem and Jewerly Fair yaliyokuwa yakifanyika kila mwaka.

Mbali na kujifunza kuhusu uendeshaji wa minada ya madini ya vito, tayari ujumbe huo umepata wasaa kujifunza nchini humo kuhusu mnyororo mzima wa shughuli za uongezaji thamani madini ya vito na bidhaa zake kutoka viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ikiwemo kuangalia teknolojia zinazotumika kuchoma madini ya vito ili kuongeza ubora, kutafuta fursa za kibiashara na uwekezaji na kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali.

Aidha, ziara hiyo kwa namna moja ni utekelezaji wa baadhi ya vipaumbele vya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 ambavyo ni pamoja na kuhamasisha shughuli za uongezaji thamani madini; kuhamasisha uwekezaji na biashara katika Sekta ya Madini, uanzishwaji wa minada na maonesho ya madini ya vito.

Kufuatia uzoefu huo, Mbibo ametoa wito kwa watanzania hususan wafanyabiashara na wachimbaji wa madini wenye mawe ya thamani ya vito kujiandaa kikamilifu kushiriki katika minada hiyo ambayo itatoa nafasi ya kuwakutanisha na wanunuzi wakubwa kutoka maeneo mbalimbali duniani.

‘’Tumekutana na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Bonus Group na baadhi ya watumishi wa kampuni hiyo tumewauliza ni mnada upi unafanya vizuri kati wa huu wa Thailand na Dubai wametueleza ni huu kwasababu una watu wengi wanaotoka mataifa mengi zaidi. Bila kufika kwa watu kama hawa kujifunza, kuona na kuwakaribisha kushiriki, minada itabaki kuwa ya kwetu. Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu imekwisha ruhusu tuanzishe minada na ndiyo sababu tuko hapa kujifunza zaidi,’’ amesema Mbibo.

Kwa upande wake, Meneja wa Biashara ya Madini kutoka Tume ya Madini George Kaseza amesema ziara hiyo ikijumuisha wataalam imelenga kujifunza namna kampuni hiyo inavyopata wanunuzi, inavyotangaza masoko na fursa mbalimbali kupitia madini ya vito na hivyo kutoa mwelekezo mzuri kwa Tanzania kujua namna ya kuendesha minada ya kimataifa ya madini ya vito.

‘’Tuko hapa Bangkok kama wataalam kujifunza namna minada ya madini ya thamani kubwa yanavyofanyika , tunajifunza namna fursa hizi zinavyotumika duniani kote. Sisi wajibu wetu ni kuangalia wenzetu wanavyoendesha minada hii na kutangaza vito. Tuko kujifunza ili tuifanye kuwa bora kwa manufaa ya nchi yetu,’’ amesema Kaseza.

Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bonus Group Bw. Philip Hoymans amesema kampuni hiyo ipo kuzisaidia nchi wazalishaji na kampuni za madini ya vito kutangaza masoko ili kuongeza thamani ya madini yao na kuongeza ushindani katika ununuzi wa madini ya vito, kupitia zabuni za minada ya madini.

Ameongeza kwamba, minada hiyo inalenga kuweka mazingira ya biashara ya madini ya vito katika sura ya kimataifa ikiwemo kutafuta wanunuzi kupitia taratibu za zabuni.

‘’Leo tunaendelea na zoezi la zabuni ya madini ya vito aina ya Emeralds ya Kampuni ya Belmont Emeralds kutoka nchi ya Brazil, kampuni yetu imekuwa kwenye shughuli hizi kwa miaka 150 sasa na ni furaha kwetu kuukaribisha ujumbe wa Tanzania kuona na kujifunza kwetu, ‘’ amesema Philip.

Katika hatua nyingine, ujumbe huo umekutana na Rais wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito na Bidhaa za Usonara nchini Thailand (TGJTA) Bw. Somchai Phornchindarak na viongozi waandamizi wa umoja huo akiwemo Makamu Rais wa Shirikisho hilo Bw. Chomphol Phornchindarak.

Akizugumza baada ya kikao hicho, Mthaminishaji Mkuu wa Serikali wa Madini ya Almasi na Vito (GDV) kutoka Wizara ya Madini Archard Kalugendo amesema pande hizo zimekubaliana kushirikiana katika maeneo mbalimbali ikiwemo mafunzo, teknolojia na biashara.

‘’Ametuambia, kuhusu umuhimu wa kushirikiana nao kama wafanyabiashara pamoja na wafanyabiashara wa Tanzania katika biashara ya madini ya vito na bidhaa za usonara. Tumewaalika wafanyabishara kutoka Thailand ambao ni wanachama wake ili washirikiane na wenzetu. Mambo makubwa tumekubaliana kushirikiana katika kufundisha vijana, teknolojia na biashara. Kama unavyojua wenzetu wana biashara kubwa sana ndiyo wanaongoza kwenye biashara ya usonara na kuuza madini ya vito duniani. Tumewaalika pia kushiriki katika Minada ya Madini ya Vito na Maonesho ya Madini ya Vito ya Arusha (AGF), pindi itakapoanza na kushiriki Jukwaa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini mwezi Oktoba,’’ amesema Kalugendo.

Vilevile, ujumbe huo umekutana na Uongozi wa juu wa Chuo cha Mafunzo ya Vito na Usonara cha Serikali cha nchini humo (GIT) ambapo pamoja na mambo mengine, viongozi wa pande zote wamezungumzia namna ya kushirikiana na Serikali kupitia Kituo chaJemolojia Tanzania (TGC) cha nchini ili kuwapatia mafunzo vijana wa kitanzania kujifunza masuala ya uongezaji thamani madini ya vito kwa ubora kwa lengo la kuchochea shughuli za uongezaji thamani madini nchini, kurithisha ujuzi wa shughuli hizo kwa kizazi kijacho pamoja na kuzalisha ajira ili hatimaye madini hayo yalete manufaa zaidi kwa taifa.

About the author

Alex Sonna