Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of fine arts Jijini Budapest nchini Hungary kushiriki Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika leo tarehe 14 Septemba 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novàk wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of fine arts Jijini Budapest nchini Hungary kushiriki Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika leo tarehe 14 Septemba 2023.