Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO, BALOZI WA JAPAN WATETA USHIRIKIANO KATIKA HIFADHI YA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo (kulia) akimkaribisha Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa (katikati) mara baada ya kuwasili katika Ofisini kwake Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika leo Septemba 14, 2023. Katikati ni Mshauri wa Uchumi wa Ubalozi huo, Bw. Christopher Ntyangiri.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akzungumza jambo wakati wa kikao baina yake na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa yaliyofanyika leo Septemba 14, 2023 katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipokea kitabu utekelezaji wa miradi ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) kutoka kwa Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika leo Alhamisi Septemba 14, 2023 katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimkabidhi nyaraka mbalimbali za taarifa kuhusu majukumu ya Ofisi hiyo Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika leo Septemba 14, 2023 katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan Mhe. Yasushi Misawa pamoja na viongozi wengine mara baada ya mazungumzo baina yao yaliyofanyika leo Septemba 14, 2023 katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

……………..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Yasushi Misawa katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Septemba 14, 2023 Dkt. Jafo amemshukuru Balozi Misawa kwa juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya Japan kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo (JICA) kwa kuendelea kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo maji, elimu, barabara, afya na kuiomba Serikali hiyo kusaidia pia miradi ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira iliyopo nchini.

Waziri Jafo amemueleza Balozi Misawa kuwa ajenda ya mazingira ni moja ya kipaumbele muhimu vilivyopewa msukumo na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeendelea na juhudi za kuhamasisha jamii kutumia nishati mbadala ili kuhamasisha uhifadhi na utunzaji mazingira nchini.

“Tanzania tunazalisha takribani tani Milioni moja za taka ngumu ambazo ni fursa ya uzalishaji wa nishati mbadala…tunatumia asilimia 30 tu ya nishati hiyo…Tunahitaji nishati hii kwa ajili ya matumizi ya kijamii na kiuchumi. Tunahitaji wawekezaji wengi zaidi kujitokeza kwa ajili ya uwekezaji,” amesema Mhe. Dkt.Jafo.

Amesema kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi na rafiki kwa wawekezaji na wadau wa nishati hiyo kuweza kujitokeza na kushirikiana na Serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya nishati mbadala hususani katika maeneo ya vijijini ili kuongeza upatikanaji wa nishati mbadala ya kupikia.

Waziri Jafo pia amemhakikishia Balozi Misawa ushirikiano na utayari wa Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha utekelezaji wa miradi ya nishati jadidifu ikiwemo jotoardhi, tungamotaka, upepo na jua pamoja na matumizi bora ya Nishati mbadala ili kuleta manufaa kwa wananchi na jamii kwa ujumla.

Akifafanua zaidi Waziri Jafo amesema Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa sera, kanuni na miongozo mbalimbali ikiwemo ikiwemo katazo Kwa taasisi zote za umma na binafsi kwa upande wa Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi 300 kusitisha matumizi ya mkaa na mkaa ifikapo mwaka Januari 2025. 

Dkt. Jafo amesema kutokana na msisitizo huo, Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imendelea kuwahimiza wadau na washirika wa maendeleo kujitokeza kuungana mkono juhudi hizo za serikali kwa kuhakikisha zinaelekeza nguvu katika uwekezaji wa miradi ya nishati Rafiki kwa mazingira. 

Aidha kwa upande mwingine Dkt. Jafo ameiomba Serikali ya Japan kutoa fursa ya ufadhili wa masomo kwa wataalamu wa mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais ili kuweza kujengewa uwezo wa kitaalamu na kiufundi katika usimamizi wa miradi mbalimbali ya mazingira inayotekelezwa nchini.

Kwa upande wake, Balozi Misawa amemhakikishia Waziri Jafo kuwa Serikali ya Japan itaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo kwa kushirikiana na Tanzania katika kuendeleza sekta ya Nishati hasa kwa upande wa Nishati jadidifu.

Alisema, kuwa wawekezaji kutoka Japan wapo tayari kuja kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya nishati jadidifu na kuhakiikisha kuwa uwekezaji huo unaleta manufaa ya kijamii na kiuchumi baina ya Mataifa hayo.

About the author

Alex Sonna