Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

Featured Kitaifa

MAVUNDE AITAKA TEITI KUWA KITOVU CHA TAARIFA ZA MADINI

Written by Alex Sonna

 

Na Mwandishi wetu -Dodoma 
 
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Taasisi ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini (TEITI) kuwa kitovu cha taarifa za rasilimali madini ili kuisadia serikali na Wizara katika ukusanyaji wa mapato kutoka katika rasilimali za hiyo ili kuongeza tija katika mnyororo mzima wa sekta ya madini nchini.
 
Waziri Mavunde ametoa maelekezo hayo leo septemba  wakati akizungumza katika kikao na TEITI pamoja na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC), kikao kilichofanyika jijini Dodoma.
 
Mhe . Mavunde amesema TEITI ina jukumu kubwa la kukusanya taarifa na takwimu zinahusu rasilimali madini hivyo ni matarajio kuwa taarifa au takwimu hizo zitasaidia Wizara katika mipango yake ya kuongeza mapato.
 
“Sekta hii ni kubwa sana, ili kufikia lengo la kuongeza mapato ya serikali tunapaswa kuwa na taarifa sahihi zilizofanyiwa utafiti pamoja na takwimu sahihi za mapato ambazo zitaiongoza wizara kujua ni eneo gani linapaswa kuongezewa nguvu zaidi hii ni kutokana na TEITI yenyewe kuwa ni kitovu cha taarifa zote zinazohusu rasilimali madini” amesema Mavunde. 
 
Akizungumzia kuhusu TGC, Waziri Mavunde amekitaka kituo hicho kusaidia Wizara kufikia lengo la kuongeza thamani madini ili kutimiza lengo la kuanzishwa pamoja kuyafanyia kazi yale mliyojifunza katika ziara ya China na Thailand
 
“Nimesikia kuwa mlitembelea nchi ya China na Thailand, ni matumaini yangu kuwa mtayafanyia kazi yale mliyojifunza huko, ujuzi huo mlioupata huko tuone ukipatikana hapa ndani ya nchi na tuwajengee uwezo watu wetu ili wafanye vizuri zaidi katika eneo hilo la kuongeza thamani madini yetu” amesema Mavunde. 

 

 

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema lengo la kuanzishwa kwa TEITI ni kuhakikisha wizara inakuwa na Takwimu sahihi zinazohusu rasilimali Madini ili zisadie katika kufikia malengo yake yakiwemo ya ukusanyaji wa maduhuli ya serikali. 

 

 

Naye, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TEITI, Mariam Mgaya amesema kuwa TEITI imepanga kuweka wazi mikataba ya serikali na makampuni yaliyowekeza katika rasilimali zao ili kuweka uwazi wa mikataba hiyo.
 
Ameongeza kuwa TEITI inatarajia kuweka wazi kiasi cha hisa za serikali kwa kampuni zinazoingia nayo ubia hapa nchini ili wananchi wafahamu mawanda ya umiliki wa hisa ya serikali katika kampuni hizo na manufaa yanayopatikana.
 
Pia, ameeleza kuwa TEITI imepanga kufanya Tafiti kwenye shughuli za sekta ya madini ili kuweka wazi kuhusu uharibifu wa mazingira sambamba na mchango wa wachimbaji wadogo katika sekta ya madini ambao kwa siku za karibuni umeongezeka sana.
 
 Akizungumza Kwa niaba ya Mratibu wa TGC, Kaimu Mratibu Msaidizi, Kurugenzi ya Mipango, Tafiti na Uendelezaji Ujuzi wa kituo hicho, Jumanne Shimba amesema kuwa kituo hicho kimepanga kuwa na maabara yenye viwango vya kimataifa ili kutoa huduma za uongezaji thamani madini kwa viwango vya kisasa
 
Pia amesema kuwa kituo hicho kimepanga kuanzisha vituo ambavyo vitatangaza fursa ya Madini nchini ambapo mpaka sasa tayari wameishaanza katika kiwanja kimoja cha ndege ambacho ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na mipango mingine ikiendelea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

 

 

About the author

Alex Sonna