Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ATEMBELEA WADAU WA MAZINGIRA NAIROBI

Written by mzalendoeditor

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo kuhusu teknolojia mbalimbali na jitihada zinazofanywa na wadau wa utunzaji wa mazingira ikiwemo matumizi ya nishati safi ya kupikia na rafiki kwa mazingira, alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi, Kenya.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (aliyekaa katikati) pamoja na akiwa pamoja na Mshauri wa Rais katika masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi Dkt. Richard Muyungi (aliyekaa kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na vijana wa kitanzania wanaojishughulisha na shughuli za hifadhi ya mazingira katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wakati wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi, Kenya

About the author

mzalendoeditor