Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

REA KUIPATIA UMEME SHULE YA CHIFU HANGAYA ILIYOKO MAGU

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene (wa tatu-kulia), baada ya kikao kifupi kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini Septemba 6, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Msimamizi wa Miradi ya REA Mkoa wa Mwanza Mhandisi Ernest Makale, Wajumbe wa Bodi Florian Haule na Mhandisi Styden Rwebangila pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mhandisi Romanus Lwena.

Veronica Simba – REA

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeahidi kugharamia gharama zote za kuunganisha umeme katika Shule ya Msingi ya Chifu Hangaya wilayani Magu, Mkoa wa Mwanza, inayojengwa kwa ufadhili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ikumbukwe Rais Samia alisimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu Tanzania wakati wa Hafla iliyofanyika Agosti 8, 2021 katika Viwanja vya Red Cross eneo la Kisesa, wilayani Magu na kupewa jina la Chifu Hangaya hivyo shule hiyo imepewa jina lake.

Ahadi hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Janet Mbene, mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Magu, Rachel Kassanda, akiwa ameongoza Ujumbe wa Bodi katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini wilayani humo.

Akizungumza kwa niaba ya Wajumbe wa Bodi aliofuatana nao, ambao ni Mhandisi Styden Rwebangila na Florian Haule, Mwenyekiti alisema REA inaunga mkono jitihada za Rais Samia za kuwaletea wananchi maendeleo hivyo itafadhili uunganishaji umeme ili ndoto yake njema kuona watoto wote wanapata elimu bora itimie.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya aliishukuru REA kwa ahadi hiyo akisema kuwa nishati ya umeme itawezesha shule hiyo iliyo katika hatua za mwisho kukamilika kutoa elimu bora kwa watoto.

Katika hatua nyingine, Bodi imeahidi kuzisaidia kaya maskini zaidi, hususan zile zilizoko katika Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), ambazo zimefikiwa na miradi ya umeme vijijini, kwa kuzipatia vifaa vya Umeme Tayari (UMETA) bure ili kuwawezesha wakazi wake kuepuka gharama za kutandaza nyaya katika nyumba zao.  

Aidha, Bodi imetoa hamasa kwa Maafisa Uchumi na Mipango wa Wilaya kote nchini, kuainisha fursa zilizoko katika maeneo yao kwa wananchi ambao wamefikiwa na miradi ya umeme vijijini ili waitumie nishati hiyo kuchangamkia fursa hizo kwa ajili ya kuinua hali yao kiuchumi.

Awali, Ujumbe wa Bodi ulifanya ziara katika Wilaya ya Ilemela ambapo ulikutana na Mkuu wa Wilaya hiyo Hassan Masala pamoja na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali.

Bodi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazohusu umeme vijijini zilizowasilishwa na viongozi hao wa Wilaya za Ilemela na Magu ili kuhakikisha azma ya Serikali kuwapatia wananchi maendeleo kupitia nishati hiyo inafikiwa kikamilifu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msimamizi wa Miradi ya REA Mkoani Mwanza, Mhandisi Ernest Makale, jumla ya miradi sita ya umeme vijijini inatekelezwa katika Mkoa huo ambapo ikikamilika itakuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi.

Bodi ya Nishati Vijijini inaendelea na ziara katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa, kukagua utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini ambapo katika hatua za awali, imeeleza kuridhishwa na kasi ya Wakandarasi inayoleta matumaini kuwa itakamilika kwa wakati.          

Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene (wa tatu-kulia), baada ya kikao kifupi kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini Septemba 6, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Msimamizi wa Miradi ya REA Mkoa wa Mwanza Mhandisi Ernest Makale, Wajumbe wa Bodi Florian Haule na Mhandisi Styden Rwebangila pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mhandisi Romanus Lwena.

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Masala (kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Janet Mbena (katikati) na Mjumbe wa Bodi, Mhandisi Styden Rwebangila baada ya kikao kifupi kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini. Mwenyekiti ameongoza Ujumbe wa Bodi katika ziara ya kazi wilayani humo,

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe, Janet Mbene (katikati) na Wajumbe wa Bodi hiyo, Florian Haule na Mhandisi Styden Rwebangila (kulia) wakiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini wilayani Magu, Mkoa wa Mwanza

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Janet Mbene akizungumza wakati wa kikao kifupi baina ya Bodi na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (hawapo pichani) kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini

Msimamizi wa Miradi ya Nishati Vijijini Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Ernest Makale akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo wilayani Magu wakati wa kikao kifupi baina ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) na Mkuu wa Wilaya, Mhe. Rachel Kasanda

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Florian Haule akizungumza wakati wa kikao kifupi baina ya Bodi na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (hawapo pichani) kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini,

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhandisi Styden Rwebangila akizungumza wakati wa kikao kifupi baina ya Bodi na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (hawapo pichani) kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini

Sehemu ya Miundombinu ya umeme katika kijiji cha Igombe wilayani Magu, Mkoa wa Mwanza. Kijiji hiki kimepata umeme kupitia Mradi wa REA III Mzunguko wa Pili. Taswira hii ilichukuliwa Septemba 6, 2023 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini.

Kaimu Mkurugenzi wa Umeme Vijijini, Mhandisi Romanus Lwena akizungumza wakati wa kikao kifupi baina ya Bodi ya Nishati Vijijini na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Mhe. Rachel Kasanda (hawapo pichani) kujadili utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini

About the author

Alex Sonna