Featured Kitaifa

EWURA YAKIFUNGIA KITUO CHA GBP TABORA KWA KUTOUZA MAFUTA

Written by mzalendoeditor

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA , leo 3 Septemba, 2023 imekifungia Kituo cha GBP Tabora, kutokana na kutouza mafuta kwa wateja huku kwenye maghala yake mafuta yakiwemo.

Kituo hicho kimefungiwa baada ya kukiuka Kanuni za uendeshaji biashara ya mafuta nchini.

About the author

mzalendoeditor