Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Michezo

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WAHIMIZWA MICHEZO KWA AFYA, KUONGEZA UFANISI

Written by Alex Sonna

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Dkt. Vedastus Timothy (kulia) akizungumza na wachezaji wa michezo mbalimbali wakati akizindua Bonanza la michezo lililoandaliwa na Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Mkuregenzi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Bi. Josephine Matiro (kulia) akitoa salamu za taasisi hiyo wakati wa kufungua Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Wizara ya Fedha pamoja na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Kikosi cha wachezaji wa mpira wa miguu wa Timu ya Hazina wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo kati yao na Timu ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), katika Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Wizara ya Fedha pamoja na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Timu ya kuvuta Kamba ya Wanawake kutoka Wizara ya Fedha wakionesha umahiri wao katika Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Wizara hiyo pamoja na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA),lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Timu ya kuvuta Kamba ya Wanaume kutoka Wizara ya Fedha wakipambana na mpinzani wao katika Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Wizara hiyo pamoja na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA),lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wa mchezo wa kuruka na magunia kionesha umahiri wao katika Bonanza la Michezo lililoandaliwa na Wizara hiyo pamoja na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA),lililofanyika leo Septemba 2,2023 katika viwanja vya Kilimani, jijini Dodoma.

Na Farida Ramadhani- WF, Dodoma 

Watumishi wa Wizara ya Fedha na Taasisi zilizo chini yake wamehamasishwa kushiriki katika michezo ili kuimarisha afya zao na kuongeza ufanisi katika majukumu yao.

Rai hiyo imetolewa katika viwanja vya Mlimani jijini Dodoma na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Dkt. Vedastus Timothy alipozindua Bonanza la michezo lililoandaliwa na Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake kwa kushirikiana na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA).

Dkt. Timothy alisema lengo la kufanya bonanza hilo ni kuhamasisha watumishi kushiriki katika michezo ili kuimarisha afya zao na kuboresha uhusiano kati yao.

“Kazi nyingi za ofisini zinahushisha watu kukaa muda mrefu na kufanya miili kuathirika na magonjwa yasiyoambukiza kwa urahisi, kwa hiyo fursa ya kuwashirikisha watumishi kwenye michezo ni kuwawezesha kukabiliana na magonjwa hayo”, alisema Dkt. Timothy.

Naye Mkurungenzi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Bi. Josephine Matiro alisema bonanza hilo linaunga juhudi za Serikali kwa kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kuwawezesha watumishi kuwa na afya njema.

Alisema rasilimali watu ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi hivyo afya zao inabidi zilindwe ili waweze kufanyakazi kwa ufanisi na kuiwezesha nchi kupata maendeleo.

Kwa upande wa Afisa Michezo wa Wizara ya Fedha, Bw. Gema Mwakyusa na Katibu wa Timu ya Michezo ya Hazina, Bw. Kelvin Kakoko, walisema bonanza hilo ni utaratibu ambao umewekwa na Wizara kila baada ya muda kuwakutanisha watumishi pamoja katika michezo ili kuhakikisha watumishi wa Wizara pamoja na taasisi zake wanakuwa na afya bora.

Akizungumza baada ya kumaliza michezo Kiongozi wa Timu ya Hazina, Bw. Asegelile Mboya, alisema pamoja na mambo mengine bonanza hilo ni sehemu ya maandalizi ya mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayotarijiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2023.

Bonanza hilo lilihusisha michozo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, mpira wa pete, kuvuta Kamba, kukimbiza kuku pamoja na kuruka na magunia.

About the author

Alex Sonna