Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YAWEKA MKAKATI KUIMARISHA USAWA KIJINSIA

Written by Alex Sonna

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera Mhando,akizungumza wakati wa Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi huduma za Ustawi wa jamii kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bi.Subisya Kabuje ,akizungumza wakati wa Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju (hayupo pichani) akizungumza wakati wa Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju,akiteta jambo na Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando, mara baada ya kufungua  Semina Elekezi ya Usambazaji wa Mwongozo wa Mafunzo ya uwiano wa Kijinsia na Ujumuishaji Jamii katika huduma za ustawi wa Jami kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau yaliyofanyika  leo Agosti 31,2023jijini Dodoma.

PICHA ZOTE NA ALEX SONNA

Na WMJJWM- Dodoma

Serikali imesema ili kuhakikisha kuna uwiano wa kijinsia katika upatikanaji wa huduma imeandaa mwongozo wa uwiano wa kijinsia ili makundi yote yashiriki katika maendeleo ya jamii lakini pia kuondoa ukatili.

Hayo yamebainishwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju wakati akizungumza na Maafisa Ustawi wa Jamii wa Wizara za Kisekta, Taasisi za Umma na wadau kwenye mafunzo ya utoaji wa huduma kwa kuzingatia uwiano wa kijinsia ili kufikia kizazi cha usawa, yaliyofanyika jijini Dodoma Agosti 31,2023.

“Mwongozo huu umelenga kutekeleza makubaliano ambayo Tanzania imeridhia katika mikataba yake ya kimataifa lakini pia katiba yetu ya Tanzania inaelekeza kutoa huduma kwa watu wote bila ubaguzi wowote“ amesema Mpanju.

Wakili Mpanju amewasisitiza Maafisa Ustawi hao kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika mafunzo hayo ili maarifa yote yanayopatikana yatumike nchi nzima ili lengo la Serikali kuwa na jamii yenye usawa litimie.

Kwa upande wake, Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando amesema mwongozo huo umeandaliwa kupitia hatua kadhaa ikiwemo vikao kadhaa na kufanyiwa majaribio kadhaa na wadau na kupitia mafunzo mbalimbali hadi kufikia hatua ya ukamilishaji.

“Malengo ya Semina hii ni kutoa uenezi wa mwongozo huu kwa maafisa ustawi ili utumike nchi nzima na ukazibe mapengo yote yaliyokuwepo kwenye uwiano wa kijinsia nchi nzima” amesema Dkt. Nandera.

Naye Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Subisya Kabuje amesema mwongozo huo utafanikiwa zaidi endapo utasambazwa kwa Maafisa Ustawi wote kutoka mikoa yote na Halmashauri zote na kusaidia kutatua changaoto zilizokuwepo.

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Shirika la PACT Tanzania Flora Nyagawa amesema Shirika hilo litaendelea kushirikiana kikamilifu na Wizara kuhakikisha afua zote zinatekelezwa ili kuwa na Taifa lenye uwiano wa jinsia.

About the author

Alex Sonna