Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

UBUNIFU SULUHU YA MAPATO VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII- WAZIRI DKT.GWAJIMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akijibu hoja mbalimbali za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba katika kikao kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu akifafanua masuala mbalimbali mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rugemba Kiduvya Kulamiwa akiwakilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo hicho mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii katika kikao kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Fatma Taufiq akitoa maelekezo, maoni na ushauri kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ilipokuwa ikiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba katika kikao kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba katika kikao kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakurugenzi na Maafisa kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakati Wizara ikiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba kilichofanyika Agosti 23, 2023 jijini Dodoma.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

Na Witness Masalu, WMJJWM Dodoma

Serikali imesema ubunifu wa miradi utasaidia vyuo vya Maendeleo ya Jamii kukusanya mapato zaidi na kujiendesha kwa kiasi kikubwa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima alipokua akijibu hoja mbele ya Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakati wa kikao na Kamati hiyo juu ya uendeshwaji wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Rugemba Agosti 23, 2023 Jijini Dodoma.

Waziri Dkt. Gwajima amesema endapo Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vitaweza kuwekeza katika ubunifu wa miradi mbalimbali itakuwa ni njia ya haraka ya wao kupata pesa ambazo zitawawezesha kujiendesha na kupunguza utegemezi Serikali kuu.

“Tukiwekeza kwenye miradi yetu kama kilimo,ufugaji na miradi mingine mingi kulingana na eneo husika kwa ubunifu na ustadi naamini tutaweza kuongeza kipato na kupunguza utegemezi wa fedha kutoka serikalini “alisema Dkt. Gwajima.

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amesema suala la uanagenzi ni jambo linalofanyika katika Vyuo vyote vya Maendeleo ya jamii nchini ili kutoa wataalam wenye ujuzi watakaweza kuleta matokeo chanya kwa maendeleo ya Jamii na Taifa.

“Mbinu ya Uanagenzi inatumika katika vyuo vyote vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ikiwa na dhumuni la kuwanoa wanafunzi katika maeneo muhimu waliojifunza Vyuoni kwani mafunzo hayo ni zaidi ya mafunzo kwa vitendo maana wanafunzi hupata muda zaidi wa kuweza kuimarika katika eneo husika.” alisema Dkt. jingu

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Mhe. Fatma Toufiq, ameishauri Serikali kushirikiana na wadau tofauti wa maendeleo kwenye kukuza miradi iliyopo katika Vyuo vya Maendeleo ya Jamii ili iweze kusaidia katika uendeshaji wa Vyuo hivyo.

“Ili miradi hii ikue ni vyema mkitumia mbinu ikiwemo kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo waasisi wa chuo hiki waliokuwa na lengo la kusaidia watoto wa kike. Njia hii inaweza kuchochea mafanikio makubwa na yenye uendelevu” alisema Toufiq

Sambamba na hilo, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii ilipitishwa kwenye wasilisho la mfumo wa Kidigitali wa taarifa wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali ambao umetengenezwa ili kuleta uwazi na uwajibikaji kwa wadau wote wa NGOs nchini.

About the author

Alex Sonna