Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WANUFAIKA WA MRADI WA MAJI MSHIKAMANO WAIOMBA DAWASA KUONGEZA KASI YA KUSAMBAZA MAJI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wananchi hususani wa Kata ya Mbezi, Ubungo na Mshikamano ambao ni wanufaika wa mradi wa maji Mshikamano kuwa na subira ya kuwaunganisha na huduma kwa kuwa kazi ya ufundi huwa inatekelezwa kwa kuzingatia utaratibu.

Ameeleza hayo wakati wa ziara yake ya siku ya pili alipotembelea utekelezaji wa mradi wa maji Mshikamano uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Amesema kuwa mradi huu wa Mshikamano umetekelezwa kwa ufanisi mkubwa na DAWASA na ni mradi ambao utajibu shida ya maji kwa wananchi wengi wa maeneo haya.

“Tumesikia shuhuda nyingi kutoka kwa wananchi kuwa maeneo haya yalikuwa makame kwa mrefu, lakini kwa jitihada kubwa za DAWASA maeneo mengi yameanza kupata maji, tunaishukuru DAWASA kwa namna ambavyo wanaiwakilisha vizuri Wizara ya Maji,” ameongeza Mhandisi Maryprisca.

“Wito wangu kwa wananchi ambao wameshalipia maunganisho ya maji wawe na subira kwa kuwa kazi za kiufundi zinakwera kwa utaratibu, tayari vifaa vya maunganisho mapya vimeshanunuliwa na wateja mtaanza kuunganishiwa hivi karibuni,” Mhandisi Marryprisca Mahundi Naibu Waziri wa Maji.

Mhandisi Maryprisca amefafanua kuwa utoaji wa kumbukumbu namba za wananchi walioomba maji ulisimama kwa muda ili kufuatilia upatikanaji wa vifaa vya maunganisho ya maji, na kwa sasa vifaa vimepatikana hivyo wananchi watapewa namba na kuunganishiwa na huduma.

Tunampongeza sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uzalendo wake wa kutoa fedha za mfuko wa Uviko kiasi cha bilioni 2.5 kwenye mradi wa maendeleo ili wananchi wapate maji.

Nae Mwakilishi wa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Ndugu Shaban Mkwanywe amesema anaishukuru Serikali kupitia Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuwezesha kutekeleza mradi huu na kuukamilisha.

Mradi huu unatuwezesha kujibu hoja za shida ya maji kwa wananchi, kwa sasa kazi tunayoendelea nayo ni kusambaza maji kwa wananchi kwa kasi.

“Kwa mwaka huu wa fedha 2023/24 tumetenga fedha za ndani bilioni 2.5 kwa ajili ya kusambaza maji kwa wananchi wote wa kata ya Mbezi, Msakuzi kusini na kaskazini kuwa wasiwe na wasiwasi huduma itafika,” ameeleza Mhandisi Mkwanywe.

Mkazi wa Kata ya Mshikamano Ndugu Sanga Mbowe ameishukuru Serikali kupitia DAWASA na kuomba kazi ya kusambaza maji ifanyike kwa haraka ili wananchi wote waweze kunufaika na huduma.









About the author

Alex Sonna