Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Δ°majbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

gΓΌvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

π—©π—œπ—’π—‘π—šπ—’π—­π—œ π—ͺ𝗔 π—§π—”π—”π—¦π—œπ—¦π—œ 𝗭𝗔 𝗨𝗠𝗠𝗔 π—ͺπ—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—” π—™π—”π—œπ——π—” 𝗭𝗔 π—žπ—¨π—•π—”π——π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—”π—‘π—” 𝗧𝗔𝗔π—₯π—œπ—™π—” π—žπ—œπ——π—œπ—π—œπ—§π—”π—Ÿπ—œ π—žπ—¨π—£π—œπ—§π—œπ—” 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗒 π—ͺ𝗔 π—šπ—Όπ—©π—˜π—¦π—•

Written by Alex Sonna

 

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel,akielezea Mfumo wa pamoja wa ubadilishanaji taarifa serikalini ujulikanao kama β€˜Government Enterprises Service Bus’ (GovESB).

Na.Mwandishi Wetu-DODOMA
Viongozi wa taasisi mbalimbali za umma wameeleza faida za kubadilishana taarifa kidijitali kupitia Mfumo wa pamoja wa ubadilishanaji taarifa serikalini ujulikanao kama β€˜Government Enterprises Service Bus’ (GovESB).

Wakizungumza na mwandishi wetu katika nyakati tofauti, viongozi hao wameeleza kuwa, mfumo wa GoVESB umekuwa na faida nyingi ikiwemo kuongeza ufanisi wa utendaji kazi, kuokoa muda pamoja na gharama za uendeshaji wa taasisi.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel, alisema Mahakama inabadilishana taarifa na taasisi mbalimbali ikiwemo Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

β€œMfumo wa GoVESB umesaidia kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wa Mahakama kwakuwa, tunaweza kupata taarifa kwa urahisi kutoka taasisi tulizoingia nazo makubaliano na kuweza kubadilishana taarifa kidijitali, vilevile umesaidia kuongeza ufanisi na uwazi katika kuwahudumia wananchi kwa wakati”, alisema Prof. Elisante.

Naye Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Bw. Herman Mandari, alisema kabla ya kuanza kutumia mfumo wa GovESB, chuo hicho kilikuwa kikikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa taarifa kutoka taasisi mbalimbali za umma.

β€œKabla ya kuanza kutumia mfumo wa GoVESB, Maafisa walilazimika kuwasilisha maombi ya kupata taarifa kwa njia ya barua kwa kutembelea taasisi husika, na hivyo kuchukua muda mrefu kupata taarifa hizo, jambo lilichongia kupunguza ufanisi katika utendaji wa kazi”, alisema Mandari.

Aliongea kuwa, changamoto nyingine waliyokabiliana nayo ni utofauti wa utaratibu wa kupata taarifa kutoka taasisi moja hadi nyingine, kwani kila taasisi ina utaratibu wake wa ndani wa kupata na kutoa taarifa na pia, baadhi ya taasisi utaratibu huo hubadilika mara kwa mara, lakini kupitia GoVESB changamoto hizo zimetatuliwa na sasa wanapata taarifa zote kwa wakati.

Kaimu Meneja wa TEHAMA Chuo cha Utumishi wa Umma Bw. Elibariki Mushi, alisema mfumo wa GovESB umewasaidia kupata taarifa sahihi, zinazoaminika na zenye ubora na viwango stahiki kwa wakati, na hivyo kuimarika kwa usalama wa upatikanaji wa taarifa.

β€œTaarifa hizi tunazipata sehemu moja, hili ni jambo jema na mwelekeo huu ndio ulikuwa unasisitizwa na viongozi wetu, hivyo sio tu tunabadilishana taarifa ila tutabadilishana taarifa katika viwango vinavyofanana”, alisema Mushi.

Kwa upande wake, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Biashara (CBE) Prof. Edda Lwoga, ametoa hamasa kwa taasisi za umma ambazo hazijajiunga na mfumo wa GovESB kujiunga na mfumo, huo kwani kutokana na mapinduzi ya sayansi na teknolojia, ubadilishanaji wa taarifa ni swala ambalo haliwezi kukwepeka katika utendaji kazi

Prof. Lwoga alisema kuwa, CBE inabadilishana taarifa na taasisi saba hivyo kwa taasisi ambazo bado hazijajiunga na mfumo wa GovESB ni vigumu kubadilishana nazo taarifa na hivyo kupunguza ufanisi katika utendaji kazi.

Aidha, Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) Dkt Adolf Rutayuga, amezishauri taasisi za umma kujiunga katika mfumo huo ili kuokoa muda wa kuwahudumia wananchi, lakini pia kupunguza gharama za kutengeneza mifumo midogo midogo ya kuunganisha na taasisi nyingine.

Mfumo wa GoVESB umetengenezwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kuzingatia kifungu cha 48 (2) cha Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya Mwaka 2019, kinachoitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao kuanzisha na kuendesha Mfumo unaowezesha Mifumo ya TEHAMA Serikalini kuwasiliana na kubadilishana taarifa.

About the author

Alex Sonna