Featured Michezo

SIMBA SC YATWAA NGAO YA JAMII,YAILAZA YANGA KWA MATUTA

Written by mzalendoeditor

SIMBA SC imetwaa Ngao ya Jamii baada ya kuwafunga watani zao Yanga kwa mabao 3_1  kwa Mikwaju cha Penalti baada ya dakika 90 Kumalizika katika Mechi ya Fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Kuchezwa kwa mchezo huo sasa ni rasmi Ligi Kuu ya NBC inatarajia kuanza Agosti 15,mwaka huu Timu mbalimbali zitafungua pazia ya kuanza kwa msimu mpya wa 2023/24.

 

 

About the author

mzalendoeditor