Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Kitaifa

WAAJIRI WASIOPELEKEA MICHANGO YA WATUMISHI KIKAONGONI

Written by Alex Sonna

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ,akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Wenyeulemavu, Profesa Joyce Ndalichako,akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule.akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)  CPA Hosea Kashimba,akitoa taarifa ya Mfuko huo wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

   

 Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Bw.Tumaini Nyamhokya,akizungumza  wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Mhe.Fatma Touqi,akizungumza  wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini PSSSF Mhandisi Musa Iyombe,akizungumza  wakati wa Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (hayupo pichani), akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua huduma tatu za kidigitali ambazo ni utaratibu wa wanachama wapya kujiunga kwenye Mfuko, mfumo wa kidigitali wa kuanzisha madai ya mafao, uhakiki wa Wastaafu kupitia simu janja popote walipo bila kufika kwenye Ofisi za Mfuko. Uzinduzi huo

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa,akizindua huduma tatu za kidigitali ambazo ni utaratibu wa wanachama wapya kujiunga kwenye Mfuko, mfumo wa kidigitali wa kuanzisha madai ya mafao, uhakiki wa Wastaafu kupitia simu janja popote walipo bila kufika kwenye Ofisi za Mfuko hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa,  akimwangalia Mstaafu Grace Solomon, wakati akitumia mfumo wa kidigitali wa uhakiki wa Wastaafu kupitia simu janja popote walipo bila kufika kwenye Ofisi za Mfuko, huduma hizo zimezinduliwa leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha  Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) pamoja na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa,amewaagiza waajiri wakamilishe kulipa malimbikizo ya michango ya watumishi na tozo katika mifuko ya hifadhi ya jamii ifikapo Septemba 30 mwaka huu.

Mhe.Majaliwa ametia maagizo hayo leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) zoezi lililoenda sambamba na uzinduzi wa  mfumo wa TEHAMA wa Mfuko huo hafla iliyofanyika leo Agosti 12,2023 jijini Dodoma. 

“Mifuko yote ya hifadhi ya jamii, lipeni mafao kwa wakati kama mnavyofanya sasa ili kuleta utulivu kwa wanachama. Wazee wastaafu wasisumbuliwe, kumbukeni kuwa sisi sote ni wastaafu watarajiwa,” amesema Mhe.Majaliwa

Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alilolitoa wakati uzinduzi wa mkongo wa mawasiliano wa 2Afrika na matumizi ya teknolojia ya 5G la kutaka taasisi zote za Serikali ziwe zinasomana ili kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma kwa Watanzania.

Waziri Mkuu amesema kiwango cha thamani ya uwekezaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) imeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 7.98 kwa mwaka 2022/2023 kutoka shilingi trilioni 7.5 kwa hesabu za mwaka wa fedha ulioishia Juni, 2022.

“Thamani hii ipo katika soko la hisa ambalo ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa mitaji nchini ambapo mfuko huo ni muwekezaji mkubwa wa ndani mwenye hisa katika makampuni makubwa kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, Tanzania Breweries Limited, na Vodacom Tanzania Plc. ”

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa ameitaka Mifuko ya Hifadhi ya jamii kufanya uwekezaji wenye tija kwa wanachama na jamii inayolingana na thamani ya fedha za wanachama “Fanyeni utafiti wa kina kubaini masoko ili uwekezaji unaofanywa usilete hasara kwa mifuko. ” amesema

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira,Vijana na Wenyeulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia ni kuhakikisha mifuko ya hifadhi ya jamii inaendelea kutimiza wajibu wake kwa ufanisi.

Aidha amefafanua A kuwa katika kutekeleza dhamira hiyo kwa vitendo, Rais Dk. Samia alichukua hatua ya kuimarisha mifuko hiyo kwa kutoa sh. trilioni 2.17 kupitia mfumo wa hati fungani kulipa deni la sh. trilioni 4.6 ambalo tangu mwaka 1999 halikuwahi kulipwa.

Awali Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)  CPA Hosea Kashimba,amesema kuwa mfuko huo umefanikiwa kulipa madai ya sh. trilioni 1.03 yaliyorithiwa kutoka katika mifuko iliyounganishwa kwa wanachama na wategemezi 10,273 waliokuwa katika foleni ya muda mrefu.

Hata hivyo amesema  kwa kipindi cha miaka mitano hadi kufikia Juni mwaka huu, mfuko huo umelipa sh. trilioni 8.8 kwa wanufaika 262,095, umeweza kulinda na kuongeza thamani ya uwekezaji kutoka sh. trilioni 6.4 hadi sh. trillion 7.9 Juni mwaka huu ambayo ni wastani wa ongezeko la asimilia nne kwa kila mwaka.

“Mfuko unapata mapato yatokanayo na uwekezaji ya wastani wa asilimia nane kwa mwaka, mfuko umeweza kulinda na kuongeza thamani ya mfuko kwa asilimia 27.76 kutoka sh. trilioni 5.83 Julai 2018 hadi sh. trilioni 8.07 Juni mwaka huu,” ameeleza

About the author

Alex Sonna