Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

bodrum escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

matbet

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

Featured Kitaifa

KIKAO CHA WADAU KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE KATIKA NYANJA YA SIASA

Written by Alex Sonna
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Evelyn Makalla akifungua kikao kilichowakutanisha wadau kujadili na kuweka mikakati muhimu ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake katika siasa kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 09, 2023.
Mbunge wa Viti Maalum ( NGOs) Mhe. Neema Lugangira akitoa mada katika kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na wadau kujadili kuweka na mikakati muhimu ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake katika siasa kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 09, 2023.
Mkurugenzi wa Shirika la NDI Sandy Quimbaya akizungumza wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na wadau kujadili na kuweka mikakati muhimu ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake katika siasa kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 09, 2023.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mawasilisho mbalimbali katika kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na wadau kujadili na kuweka mikakati muhimu ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake katika siasa kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 09, 2023.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALI WMJJWM
Na WMJJWM- Dodoma
Wadau wa masuala ya Jinsia wameiomba Serikali kuweka mifumo na mikakati ambayo itasaidia kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake hasa katika njanya ya siasa nchini.
Ombi hilo limetolewa jijini Dodoma Agosti 09, 2023 wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na wadau kwa lengo la kujadili na kuweka mikakati muhimu ya kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake katika siasa.
Akizungumza katika kikao hicho Mbunge wa Viti Maalum (NGOs) Mhe. Neema Lugangira amesema kumekuwa na changamoto za ushiriki wa Wanawake kwenye nyanya ya siasa hasa ngazi za mitaa na Kata.
Akitoa takwimu za uwiano kati ya Wanaume na Wanawake katika uongozi kwa ngazi ya Mitaa na Kata amesema kwa ngazi ya Vitongoji kuna Viongozi Wanawake 4117 kati ya Viongozi 58441 sawa na asilimia 6.7 huku  kwa ngazi ya Mitaa Wanawake viongozi ni 528 kati ya 4117 sawa na asilimia 12.6.
Aidha kwa ngazi ya Kijiji wanawake Viongozi ni 246 kati ya 11915 sawa na asilimia 2.1 huku kwa ngazi ya udiwani  na ubunge ikiwa na asilimia za kuwa na Viti Maalum kwa ajili ya Wanawake.  
“Ingawa kuna jitihada nyingi za Serikali na wadau zimefanyika kuhakikisha Wanawake wanashiriki kugombea nafasi za uongozi hasa kwenye nyanja za kisiasa, bado nguvu inahitajika kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji na madhila mengine yanayowakumba Wanawake katika kugombea nafasi za uongozi ” amesema Mhe. Neema
Pia amewaasa Wanawake kutokata tamaa katika kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa na wanapofanyiwa vitendo vya ukatili kwenye hatua mbalimbali za kugombea nafasi hizo.
Akijibu baadhi ya hoja za wadau Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Evelyn Makala amesema kuwa Serikali inakaribisha wadau mbalimbali kutoa maoni yao hasa Viongozi Wanawake katika siasa ili kuwa na takwimu sahihi kutoka kwa wahusika wenyewe na kuweka mipango madhubuti ya kuwawezesha na kuwajengea uwezo Wanawake kushiriki katika kugombea nafasi za uongozi.
Ameongeza kuwa Serikali imeona changamoto ya uwiano mdogo wa Viongozi Wanawake na wanaume hivyo Wizara kwa kushirikiana na Wizara za kisekta zinaweka mikakati mbalimbali kwa kushirikiana na wadau ili kuhamasisha Wanawake kushiriki katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ngazi zote nchini.
“Changamoto zilizotolewa na wadau na maoni yenu tumeyachukua na tutayafanyia kazi kwa kushirikiana na wenzetu Wizara nyingine na wadau wengine wa masuala ya usawa wa kijinsia ili tuwe na uwiano mzuri wa wanawake na wanaume katika ngazi za uongozi” amesema Evelyn.
Naye Mkurugenzi wa Shirika la NDI Sandy Quimbaya amesema Shirika lake lipo tayari kufanya tafiti mbalimbali kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake hasa katika njanya ya siasa ili kuwa na mipango madhubuti ya kuhakikisha Serikali kwa kushirikiana na wadau inapambana kutokomeza vitendo hivyo.

About the author

Alex Sonna