Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

NSSF YASHIRIKI NANENANE KITAIFA NA KIMKOA, YAHIMIZA WANANCHI KUJIUNGA NA KUCHANGIA NSSF

Written by Alex Sonna

 

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewahimiza wananchi kuchangamkia Mpango wa kitaifa wa hifadhi ya Jamii kwa sekta isiyo rasmi unaotoa fursa kwa mtu mwenye shughuli halali inayomuingizia kipato kutenga sehemu ya kipato chake na kukiwekeza NSSF kwa manufaa ya sasa na baadaye.

Hayo yamesemwa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya, Bw. Deus Jandwa, wakati akizungumza na waandsihi wa habari kwenye banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Tanzania 2023 yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini humo.

“Mfumo huu ni mwepesi, rahisi na wezeshi, unaotoa fursa kwa mwananchi kujiwekea akiba  kidogo kidogo kulingana na kipato chake.” Alisema Bw. Jandwa

Alisema mpango huu ambao umewekwa na Serikali ili kumuwezesha mwananchi mwenye kipato kuendelea kujenga tabia ya kutenga sehemu ya kipato halali kujiwekea akiba ili panapotokea majanga au mtu anapofikia mahali ambapo hawezi kumudu kutekeleza majukumu yake ya kujiingizia kipato akiba hiyo ndiyo itakuwa mkombozi wake.

“Tunaamini makuzi yetu yanaanza utotoni kwa kulelewa na wazazi, ndugu au jamaa, lakini itafika wakati maisha yako yatasimamiwa na wewe mwenyewe na hasa kuanzia umri wa kustaafu wa miaka 55 na kuendelea, hapa suala la kujilea wewe mwenyewe linaanza kupungua na unahitaji kuelelewa na atakayekulea kwa uhakika ni akiba uliyojiwekea kupitia NSSF.” Alifafanua Bw. Jandwa.

Awali Afisa Uhusiano Mkuu wa NSSF, Bi. Janet Ezekiel alisema watatumia Maonesho hayo kuhakikisha kwamba kundi kubwa la wale ambao wamejiajiri wenyewe wanafikiwa kwa upana wake ili kuhakikisha wanajiandikisha kwenye Mfuko.

“Watu wanaotutembelea hapa tunawaelimisha na kuwaandikisha lakini pia timu yetu inapita maeneo mbalimbali kwenye viwanja hivi kwa nia ya kukutana na wajasiriamali na kuwaelimisha umuhimu wa kujiunga na Mfuko.” Alifafanua Bi. Ezekiel.

Alisema utaratibu wa mwanachama kuchangia ni rafiki unaomuwezesha mwanachama kumudu kuweka akiba.

“Viwango vya kuchangia ni himilivu, kima cha chini ni shilingi elfu 20,000/= na si lazima utoe fedha hizo kwa mkupuo, unaweza kutoa kidogokidogo kuanzia shilingi elfu 1,000/= na kuendelea bilashaka inapofika mwisho wa mwezi unakuwa umekamilisha malipo hayo.” Alibainisha

Alisema mfumo wa kuchangia pia ni rahisi mwanachama anapewa namba ya malipo na anaweza kulipia kupitia mitandao ya kifedha (mawakala wa mabenki na mitandao ya simu) au simu yake binafsi ya mkononi.

Akizungumzia huduma zitolewazo kwenye banda hilo, Bi. Ezekiel alisema mwanachama anapofika ataweza kupata taarifa za michango yake, taarifa za mafao, taarifa za uwekezaji, wastaafu kujihakiki lakini pia kuandikisha wanachama wakiwemo waajiri lakini pia wajasiriamali.

“Tunawakaribisha wakulima, wavuvi, wafugaji, mama lishe, bodaboda na wale wote wanaofanya shughhuli halali za kujiingizia kipato, kutembelea banda letu ili waweze kujua fursa zinazopatikana kwenye Mfuko.” Alifafanua.

Mmoja wa wanachama wa NSSF Bw. Brawn Msigwa aliyefika kwenye banda hilo, alisema akiwa kama kijana, anao wajibu wa kuanza kujiwekea akiba kwani pindi nguvu za kufanya kazi zitakapopungua akiba aliyojiwekea kidogo kidogo ndiyo itakayomsaidia pindi atakapostaafu.

“Asilimia kubwa ya fedha tunayopokea mwisho wa mwezi inakwenda kwenye mipango ya kila siku na inaisha yote hivyo ukiweza kujiwekea akiba NSSF ndiyo itakusaidia utakapostaafu.” Alisema.

Mwanachama huyo alipongeza huduma ya NSSF taarifa inayopatikana kupitia mtandao, kwani inafanya maisha kuwa rahisi.

“Nilikuwa na changamoto kidogo ya michango yangu ya kila mwisho wa mwezi, nimeelekezwa kupakua NSSF taarifa App, nimeweza kuona michango yangu moja kwa moja.” Alifafanua Bw. Msigwa

 

 

Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya, Deus Jandwa, akiwahudumia wanachama wa NSSF waliotembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ‘Nane Nane’ yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Maonesho hayo yamebeba kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara Mifumo Endelevu ya Chakula”
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) akizungumza na watumishi wa NSSF, alipotembela banda la Mfuko huo

 

 

 

Meneja
wa NSSF Mkoa wa Mbeya, Bw. Deus Jandwa (kushoto), na Afisa Uhusiano
Mkuu wa Mfuko huo, Bi. Janet Ezekiel wakibadilishana mawazo.

 

 

Mwanachama wa NSSF Bw. Brawn Msigwa (kushoto) akihudumiwa

 NSSF YAENDELEA KUTOA HUDUMA NANENANE KIMKOA MOROGORO

Wanachama
wa NSSF wakipata huduma mbalimbali walipotembelea banda la NSSF katika
Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ‘Nane Nane’ Kanda ya Mashariki
yanayoendelea katika viwanja vya Nane Nane mkoani Morogoro.

NSSF YAENDELEA KUTOA HUDUMA NANENANE KIMKOA  ARUSHA

Wananchi
wakiandikishwa kuwa wanachama wa NSSF baada ya kupatiwa elimu ya
hifadhi ya jamii walipotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya
Kimataifa ya Kilimo maarufu kama Nane nane yenye kauli mbiu “Vijana na
wanawake ni msingi imara wa mifumo endelevu ya chakula” yanayoendelea
katika viwanja vya Nanenane Mjini Arusha.

 NSSF YAENDELEA KUTOA HUDUMA NANENANE KIMKOA  SIMIYU

Meneja
wa NSSF Mkoa wa Simiyu, Nuhu Mbaga (kulia) akimuhudumia mwanachama wa
NSSF alipotembelea banda la Mfuko katika Maonesho ya Kimataifa ya
Wakulima ‘Nane Nane’ yanayoendelea katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani
Simiyu. Maonesho hayo yamebeba kauli mbiu isemayo “Vijana na Wanawake ni
Msingi Imara Mifumo Endelevu ya Chakula”

NSSF
inashiriki maonesho hayo kwa lengo la kutoa elimu ya hifadhi ya jamii,
kusajili wanachama wapya kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi,
elimu kuhusu huduma za NSSF kidijitali, elimu kuhusu mapambano dhidi ya
rushwa, Uwekezaji na elimu kuhusu mafao yanayotolewa na NSSF.
 

 

 

 

 

 

About the author

Alex Sonna