Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YATENGA BILIONI 64.52 KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt.Alphonce Chandika ,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 1,2023 jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa majukumu ya hospitali hiyo na mwelekeo wake kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA mwaka wa Fedha 2023/24 Hospitali ya Benjamin Mkapa imetengewa  Sh.Bilioni 64.52 ambapo kati ya hizo Sh. Bilioni 18.62 zinakwenda kwenye miradi ya maendeleo ili kuendelea kuwapunguzia wananchi adha ya kusafiri mbali kupata matibabu.

Hayo yamesemwa leo Agosti 1,2023 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dk.Alphonce Chandika wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya hospitali hiyo na mwelekeo wake kwa mwaka wa fedha 2023/24.

“Maendeleo hayo ni kuendeleza ujenzi wa jengo la saratani ambao mpaka sasa umefikia asilimia 27, hivyo kwa kutengewa fedha hizi zitasogeza zaidi ujenzi, eneo lingine ni ujenzi wa jengo la matibabu ya moyo na kifua kwa watoto na watu wa zima tunatarajia kuanza ujenzi huu mwaka huu wa fedha nayo ni katika lengo la kuwapunguzia adha wananchi kusafiri mbali kupata matibabu,”amesema Dkt.Chandika

Aidha amesema kuwa bajeti hiyo inakwenda kuwezesha kujenga kituo cha upandikizaji wa figo yenye vyumba vya upasuajia kwa anayechangia figo na anayepokea. 

Hata hivyo Dkt.Chandika  ameweka wazi mafanikio ya huduma za kibingwa yaliyopatikana ikiwamo upandikizaji wa uume ambao unagharimu sh.milioni sita hadi 10.

Amesema kuwa huduma hiyo iliyofanywa kwa wanaume wawili waliokuwa na tatizo la nguvu imeonesha matokeo mazuri na kurejesha heshima kwa familia zao.

“Tumeona hata wenzetu waganga wa kienyeji wanapita huko mtaani kule na dawa ya kutibu tatizo hili, wananchi wanasumbuka sisi kama taasisi ya umma tuje na mkakati wa kuwasaidia wananchi, tulianza kutoa huduma mwezi Juni 2022 kwa kuhudumia wanaume wawili lakini kwa habari njema kutoka kwao mambo ni mzuri.”

“Mambo ni mzuri sana kwasababu tuliwapa masharti wakae wiki sita ndio waanze kujaribu mitambo, mitambo imekaa vizuri na wao wametuambia matokeo mazuri wamefurahi sana na imerejesha heshima kwenye familia zao,”amesema

Hata hivyo,Dkt.Chandika amesema wapo kwenye mchakato wa kuongeza wigo wa utoaji huduma ili zipatikane kwa wahitaji wote na wale wanaotengeneza vipandikizi wanakamilisha taratibu za usajili ili kufungua ofisi Dar es salaam itakayorahisha upatikanaji wake.

“Natumaini baada ya kuanza sisi na hospitali zingine zitatoa kwa kuwa uhitaji ni mkubwa sisi pekee yetu hatutatosheleza, kwa hiyo tutashirikiana na wenzetu hata kuwapa mafunzo ili watoe huduma kwenye hospitali zao,”amesema 

Hospital ya Benjamin Mkapa inahudumia wananchi zaidi ya Milioni 10 wa mikoa ya Dodoma,Iringa,Singida,Manyara na baadhi ya maeneo ya mikoa ya Morogoro na Tabora pia inapokea Wananchi kutoka karibu Kila Kona ya Nchi na nje ya mipaka ya Tanzania wanaokuja kufuata huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi.

About the author

Alex Sonna