Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

DED MOSHI AELEKEZWA KUMCHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU MHANDISI WA HALMASHAURI KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi (aliyeinama) akijiridhisha na ubora wa sakafu katika darasa lililojengwa kwenye Shule ya Msingi Mandela iliyopo Manispaa ya Moshi, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu inayojengwa na Serikali kupitia mradi wa BOOST na SEQUIP.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akimuonesha Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Daniel Kileo (kushoto) maelekezo aliyopaswa kuyazingatia katika ujenzi wa miundombinu ya elimu kwenye Halmashauri hiyo.

Na: James Mwanamyoto (OR-TAMISEMI)

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Shadrack Mhagama kumchukulia hatua za kinidhamu Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Bw. Daniel Kileo kwa kushindwa kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi ya elimu ikiwemo ujenzi wa madarasa ya mradi wa BOOST kinyume na maelekezo ya Serikali yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI. 

Mhe. Ndejembi ametoa maelekezo hayo, mara baada ya kutoridhishwa na ujenzi wa madarasa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kukagua Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi   inayojengwa na Serikali kupitia mradi wa BOOST na SEQUIP.

Mhe. Ndejembi amesema, haiwezekani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atafute fedha za kujenga miundombinu ya elimu alafu zisitumike vizuri kwa sababu ya Mhandisi wa Wilaya kushindwa kutafsiri ramani wakati yeye ndiye mtalaam na mwenye jukumu hilo. 

“Mkurugenzi mchukulie hatua za kinidhamu Mhandisi wa Ujenzi na mkaimishe mwingine kwani huyu ameshindwa kusimamia ujenzi wa madarasa na Ofisi ya Rais TAMISEMI itakuletea Mhandisi mwingine atakayesimamia miradi ya ujenzi ya miundombinu ya elimu,” Mhe. Ndejembi amesisitiza.

Baada ya ukaguzi wa Miradi ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mhe. Ndejembi amebaini kuwa miradi mingi katika Halmashauri hiyo haijakamilika wakati katika Wilaya nyingine ikiwemo Manispaa ya Moshi imeshakamilika na changamoto kubwa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ikiwa ni kuwa na Mhandisi ambaye ameonekana kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Aidha, Mhe. Ndejembi amesema amepewa taarifa kuwa katika shule ya Sekondari Ashira bweni moja halijajengwa licha ya kuwa fedha zilitolewa na Serikali na Mhandishi huyo kushindwa kusimamia ujenzi huo. 

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mhe. Kisare Makori amemshukuru Mhe. Ndejembi kwa kufanya ziara ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya elimu na kuhimiza uwajibikaji katika Wilaya yake ili miradi yote ikamilike kwa wakati na kuwanufaisha wananchi kama ilivyokusudiwa na Serikali.

Sanjari na hilo, Mhe. Makori amuomba Mhe. Ndejembe kumfikishia salamu za shukrani Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha nyingi wilaya yake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya elimu, afya na miundombinu ya barabara.

 

About the author

Alex Sonna