Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

MKOA WA DODOMA WABAINIKA KUWA NA ORODHA YA MADINI MENGI ZAIDI YA MIKOA MINGINE

Written by Alex Sonna

Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon,akimuonesha Ramani Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule sehemu yanayopatikana Madini mara baada ya kupokea kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma..PICHA NA ALEX SONNA

Na.Samwel Mtuwa – GST

Utafiti umebaini kuwa Mkoa wa Dodoma una aina nyingi za madini kulinganisha na mikoa mingine nchini.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za madini zilizofanywa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania(GST) zimeonesha kupitia kitabu kipya cha madini yapatikanayo Tanzania.

Hayo yamebainishwa leo tarehe 28/7/2023 na Kaimu Meneja wa sehemu ya jioloji GST Maswi Solomon wakati akikabidhi kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa mkuu wa mkoa Dodoma Bi. Rose Senyamure.

yamesemwa na Mtaalam kutoka GST Bw. Maswi Solomon wakati akikabidhi Kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la Tano kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule.

Akieleza sababu za mkoa huo kuwa na aina mbalimbali za madini Maswi amesema kuwa ni kutokana na Mkoa wa Dodoma kuwa kwenye Ukanda maalum wa jiolojia unaupitiwa na mabadiliko tofauti ya kijiolojia na kuufanya kuwa na orodha ya madini mengi ya aina mbalimbali kuliko Mikoa mingine yote ukifuatiwa na Mkoa wa Morogoro na Lindi.

Maswi alieleza kuwa baadhi ya madini hayo ni madini mkatakati kama vile Lithium, Nikel, Chuma, Urani, Shaba na Helium.

Aidha, baadhi ya madini mengine ambayo yametambuliwa kuwa Muhimu kwenye matumizi ya viwanda vya ndani ni pamoja na madini ya Chokaa, Jasi, Feldspar, Mfinyanzi, Quartz na Kyanite.

Madini mengine ambayo ni ya kipekee kwa sasa yanapatikanayo Tanzania tu ambayo ni madini ya Yoderite ambayo yako katika Mlima wa Mautia Wilaya ya Kongwa Mlima ambao GST imeshauri uhifadhiwa kwa ajili ya utalii wa jiolojia ikiwemo watafiti na wanafunzi kujifunzia na kushuhudia madini hayo.

Kitabu hiki kimekabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Waziri Mkuu alilo litoa akiwa Mwanza kwenye Mkutano wa Femata mwaka 2023.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule,ameipongeza GST kwa jitihada za kutangaza fursa za madini nchini na kuahidi kutumia taarifa hizo kwa kuvutia uwekezaji katika mkoa wa Dodoma ambao unaongoza kwa wingi wa aina mbalimbali za madini.

Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon,akizungumza kabla ya kukabidhi  kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule,akizungumza mara baada ya kupokea kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano  hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

  

Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon,akimkabidhi kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon,akimuonesha Ramani Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule sehemu yanayopatikana Madini mara baada ya kupokea kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano kwa hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule akionyesha  kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano mara baada ya kukabidhi na Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon, hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania toleo la tano  na Kaimu  Meneja Jiolojia  na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Bw.Maswi Solomon, hafla iliyofanyika leo Julai 28,2023 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna