Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

SERIKALI YATENGA ZAIDI YA BILIONI TISA KUONGEZA IDADI YA MAKAMBI JKT

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa majukumu ya JKT na mwelekeo wake katika mwaka wa fedha 2023/2024.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO  na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa,akitoa pongezi kwa JKT mara baada ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,kuzungumza na  waandishi wa habari leo Julai 27,2023 jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa majukumu ya JKT na mwelekeo wake katika mwaka wa fedha 2023/2024.

Na.Alex Sonna-DODOMA

JESHI  la Kujenga Taifa (JKT) katika Mwaka wa fedha wa 2023/2024, limetengewa kiasi cha Sh. biloni 9.96 kwa ajili ya kujenga miundombinu na kuongeza kambi zingine kwa ajili ya kuongeza idadi ya vijana wanaopatiwa mafunzo kwa mujibu wa sheria, wale wa mkataba pamoja na wale wa mafunzo ya hiyali.

Hayo yamebainishwa leo Julai 27,2023 Jijini Dodoma na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya JKT na mwelekeo wake katika mwaka wa fedha 2023/2024.

“Tunaishukuru sana serika yetu kwa kututengea kiasi hicho cha bilioni 9.96 kwa ajili ya kuboresha miundombinu yetu ya makambi ili kusaidia kuongeza idadi ya vijana ambao wanapata mafunzo kila mwaka hasa hawa wa mujibu wa sheria wanaohitimu kidato cha sita kila mwaka”amesema Jenerali Mabele

Jenerali Mabele amesema kuwa katika kipindi cha mwaka jana JKT, ilipokea vijana waliohitimu kidato cha sita 26,000 na mwaka huu imepokea vijana 52,119 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 54.

Amesema kuwa wanaipongeza serikali kwa jitihada zake za kuongeza fedha kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya makambi kila mwaka tangu mwaka 2021/22 ambapo ilianza kutenga kiasi cha Sh. bilioni 3.27.

“Mwaka 2022/23 serikali ilitupatia kiasi cha Sh. bilioni 7.5 kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu na kiasi hichi kilikuwa ni mara mbili ya kile kilichopita na hii inaonyesha azma ya serikali kuwezesha vijana wengi kupata mafunzo”amesema 

Jenerali Mabele,amesema kuwa katika kutekeleza azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuwa kapu la chakula katika bara la Afrika wameweka mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula.

Amesema katika mwaka huu wa fedha kiasi cha Sh. biloni nne kimetengwa kwa ajili ya kujenga miundombinu ya umwagiliaji ili kuongeza maeneo ya kilimo na uzalishaji ili kukidhi hitajhio la chakula kwa vijana na usalama wa chakula kwa taifa.

Hata hivyo ametoa  wito kwa vijana nchini kuchangamkia fursa za mafunzo zinazotolewa na jeshi hilo ili kujipatia ujuzi wanaoweza kuutumia mra watakapo maliza mkataba wao wa miaka miwili ya kulitumikia Jeshi hilo.

“Hivi sasa tunazungumza na wizara ya Kilimo kuona ni kwa jinsi gani ule mradi wa Jenga kesho iliyo bora (BBT), kuunganishwa na vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT ili kuwasaidia kupata shughuli za kufanya pindi wanapomaliza mikata yao ya miaka miwili na kukosa nafasi ya kuajiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini”amesema 

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO  na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amelipongeza jeshi hilo kwa namna linavyotoa mafunzo ya uzalendo kwa vijana na makundi mengine nchini.

“Meja Jenerali Mabele, niwapongeze kwa kazi nzuri manayoifannya na mimi nitazungumza na vyama vya waandishi wa habari nchini kuona ni kwa namna gani tunaweza kuwapeleka JKT waandishi wetu waje wajifunze ili kuwa wazalendo watakapotoka huko hata karimu zao zitakuwa na uzalendo mwingi na taifa lao”amesema Msigwa

About the author

Alex Sonna