Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

TANAPA KUKUSANYA BILIONI 343.8 KUPITIA UTALII NCHINI

Written by Alex Sonna

Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 24,2023 jijini Dodoma  kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

Waandishi wa habari wakifatilia hotuba ya Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema (hayupo pichani), leo Julai 24,2023 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema,kuwasilisha taarifa  kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA),katika Mwaka wa fedha wa 2023/2024,limepanga kukusanya mapato ya shilingi bilioni 343.8  yatokanayo na vivutio mbalimbali vya utalii nchini.

Hayo yamesemwa leo Julai 24,2023 Jijini Dodoma na Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema wakati akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka hiyo na Mwelekeo wa utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

“Katika mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2023 tulipanga kukusanya mapato kiasi cha Sh. bilioni 300 lakini kutokana na jitihada zizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan za kuitangaza nchi ndani na nje na kupungu kwa makali ya UVIKO-19 tulikusanya bilioni 337 kiasi ambacho kilivunja rekodi ambayo hatujawahi kukusanya hapo awali”amesema Kamishna Mwakilema

Aidha amesema kuwa Shirika linaendelea kuimariha miundombinu mbalimbali katika hifadhi zote kwa msaada wa serikali pamoja na wadau wengine ikiwemo Benki ya Dunia.

“Hifadhi ambazo zinawatalii wengi hivi sasa ni zile za ukanda wa Kaskazini lakini lengo letu ni kuimarisha pia za kanda nyingine ambazo ni pamoja na ile ya Mikumi, Nyerere, Sadani, Mkomazi pamoja na Ruwaha ili kuongeza idadi ya watalii kufikia agizo la Ilani ya uchaguzi linalotaka ifikapo 2025/26 kuwa na watalii milioni tano na mapato yapatayo yatokanayo na utalii kiasai cha dola bilioni sita”amesema 

Pia  ametoa ombi kwa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS),na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),kurekebisha miundombinu ya barabara hasa ya kutoka Nagulo Chamwino hadi Ilangali ambayo ni njia ya fupi ya kuingia hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Vile Vile amesema mikakati mingine ni kulinda mito minne ambayo inatoka nje ya hifadhi za taifa ili kulinda ikolojia na kuwaondoa katika hatari wanyama ya kukosa maji kama itakauka kutokana na kuathiriwa na shughuli za kibinadamu.

“Kuna mito kama mnne hivi ambayo inatoka nje ya hifadhi za taifa mito hiyo ni pamoja na mto Mara ambao ni mto muhimu sana katika hifadhi ya Serengeti kiikolojia ambao kama hautalidwa na kukauka wanyama watakosa maji kwani hivi sasa itegemewa kutokana na kutililisha maji mwaka mzima”amesema Kamishna Mwakilema

Katika hatua nyingine amesema kuwa  kwa mtu yeyote ambaye atapenda kumpa mnyama jina lake gharama zake ni Sh. milioni tano.

Amesema kuwa kumekuwepo na utaratibu wa wanyama mbalimbali walipo katika hifadhi za taifa kupatiwa majina ya watu kama vile Faru John na mengine mengi, hivyo kama kuna mtu ambaye anataka jina lake apatiwe mnyama gharama ni Sh. milioni tano.

“Kila mtu anaweza kumpatia mnyama jina lake ili alitumie kama utambulisho wake hifadhini, hivyo niwakaribishe watu wote ambao wangependa majina yao yao wapatiwe wanyama wetu katika hifadhi zetu ikiwa ni sehemu ya kuwalinda lakini gharama zake ni Sh. milioni tano,”amesema Kamishna Mwakilema

Kwa upande wake  Mkurugenzi wa Idara ya Habari -MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, amesema serikali ina mpango wa kujenga barabara ya kutoka Jiji la Dodoma,Bahi hadi Chamwino yenye urefu wa Kilomita 99 ambayo ndani yake ipo barabara hiyo ya Nagulo hadi Ilangali.

TANAPA ilianziswa mwaka 1959 ikiwa na majukumu mbalimbali ikiwemo kusimamia na kuendeleza maeneo yaliyoteuliwa kuwa hifadhi za Taifa kwa kuchukua hatua na kutumia njia za kuhifadhi urithi wa Taifa.

About the author

Alex Sonna