Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

lunabet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

jojobet

grandpashabet

sonbahis

cratosroyalbet

casinomilyon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

mavibet

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

cashwin

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

meritbet

meritbet giriş

meritbet

meritbet giriş

meritbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

betsalvador

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

jojobet

parmabet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

lunabet giriş

Deneme Bonusu

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet güncel giriş

kingroyal

jojobet

betbey

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

marsbahis güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

aresbet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonuau veren siteler

av ซับไทย

Featured Kitaifa

WIZARA YA ELIMU NA BENKI YA NBC WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO YA UFADHILI KWA WANAFUNZI 1,000 VETA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akishuhudia utiaji saini Makubaliano Kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi wakisaini Mkataba huo hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesaini Mkataba wa Makubaliano na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ikiwa ni Mkakati wa Benki ya NBC  kukuza ujuzi kwa vijana ili waweze kujiari wenyewe.

Akizungumza jijini Dodoma Kwenye  hafla ya utiaji saini Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda  ameishukuru Bodi na Menejmenti ya Benki ya NBC kwa kuja na mpango huo kwani utasaidia mkakati wa Serikali katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.

Prof.Mkenda amesema kuwa ufadhili huo unakwenda kutimiza azma ya Serikali ya kutoa Elimu na Mafunzo yatakayo wawezesha vijana wa kitanzania kupata ujuzi wa kujiajiri ama kuajiriwa.

“Tunaishukuru Benki ya NBC kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika jitihada za kutoa Elimu na ujuzi kwa vijana hapa nchini katika kukabiliana na tatizo la ajira hasa kwa vijana wetu wanapofika umri wa kujitegemea” amesema Prof. Mkenda.

Hata hivyo Prof.Mkenda ameihakikishia Benki ya NBC kuwa Wizara hiyo itatengeneza mfumo wa uwazi wa matumizi ya fedha hizo ili ziweze kutoa matokeo yaliyokusudiwa katika kuwajengea ujuzi vijana ili waweze kujitegemea badala ya kusubiri kuajiliwa pekee.

Aidha amesema kuwa kupitia mpango huo wataainisha maeneo yenye uhitaji zaidi au yenye fulsa nyingi za vijana kujiajiri wenyewe na maeneo hayo yatapewa kipaumbele zaidi katika mpango huo.

Ameongeza kuwa “ Makampuni yanayoanzishwa hasa katika Mkoa wa Pwani niwatake tu VETA kwa kushirikiana na Katibu Mkuu kukaa na uongozi wa Mkoa wa  Pwani na kuwakutanisha makampuni yanayoanzisha viwanda ili kubaini maeneo ya ujuzi yanayohitajika Zaidi ili tuzalishe wataalamu wengi” amesema.

Awali  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi amesema Benki hiyo itatoa kiasi cha shilingi Milioni 100 kwa ajili ya kufadhili vijana 1000 watakaokwenda kusomea kozi katika Vyuo Mbalimbali vya VETA hapa nchini.

“Mpango huu unaitwa NBC Wajibika Scholarship tunatambua tatizo la ajira kwa Vijana na ni kilio cha Dunia nzima kupitia ufadhili huu tutatoa ufadhili kwa vijana 1000 na huu ni mwanzo tu idadi itakuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka tunaamini hawa wakiweza kujiajiri tutakuwa tumepunguza kwa kiasi flani” amesema Sabi.

Ametaja baadhi za kozi zitakazofadhiliwa kuwa ni Ushonaji, Uselemara, Ufundi wa Magari, Ufundi Ujenzi, Upambaji na kozi nyingine tutakazobaini zina fulsa nyingi kwa vijana kujiari na kuendesha maisha yao.

Ameongeza kuwa “ Mbali na ufadhili huu Benki itawaingiza vijana hao 100 katika mpango maalumu wa Elimu ya Fedha ujulikanao kama NBC Busness Club na tutaweza kuwafungulia akaunti Maalumu zijulikanazo kama NBC Kuwa Nasi Akaunt zisizokuwa na makato yoyote ili wajiwekee akiba” amesema.

Amesema ufadhili huo utaratibiwa na Wizara ya Elimu na kutekelezwa na Vyuo vya Ufundi Stadi VETA na NBC itaendelea na dhamira yake ya kuwa mdau muhimu wa elimu na uwezeshaji wa vijana.

Amesema kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita NBC imewekeza kiasi cha shilingi milioni 350 katika kutoa ufadhili wa vijana 70 wa ngazi za elimu ya juu, na imekuwa ikishiriki katika ujenzi na ukarabati wa miondombinu ya shule mbalimbali hapa nchini.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) CPA Anthony Kasore ameishukuru Wizara kwa kuwezesha kupatikana ufadhili huo kutoka Benki ya NBC ambao utawezesha Vyuo hivyo kutoa Mafunzo ya Ujuzi kwa vijana wengi.

CPA Kasore amesema kuwa VETA imepokea Mradi huu pamoja na maelekezo ya kuhahakisha zinatumika kwa uwazi na kwa kutoa mafunzo yenye uhitaji na kuleta matokeo chanya kwa haraka.

 ”Mradi huo utaleta tija na kuahidi kuwazi katika upatikanaji wa vijana wanaotakiwa ili mradi huo uweze kuleta tija iliyokusudiwa na maagizo yote yatatekelezwa kama inavyotakiwa.”amesema CPA Kasore

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akishuhudia utiaji saini Makubaliano Kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi wakisaini Mkataba huo hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi wakibadilisha Mkataba mara baada ya kusaini Makubaliano Kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) huku Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akishuhudia hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi,akizungumza wakati wa utiaji saini kati ya Benki hiyo na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza wakati  utiaji saini kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

 

Sehemu ya washiriki wakifatilia  utiaji saini kati ya Wizara  ya Elimu Sayansi na Teknolojia na Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akijadili jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi wakati wakishuhudia saini kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) CPA Anthony Kasore,akitoa neno la shukrani mara baada ya kusainiwa Mkataba kati ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia na  Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi akimkabidhi jezi ya ushiriki wa Mbio za NBC Marathoni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,zinazotarajia kufanyika Julai 23,2023 katika uwanja wa Jamhuri ya Dodoma.

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akiwa katika picha ya pamoja mara  baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara hiyo na Benki ya Taifa ya Biashara NBC kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi 1,000 wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna