Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

casibom güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet giriş

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

casibom

kavbet

mavibet

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

lunabet

mislibet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

onwin

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino giriş

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

Meritking

nerobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

grandpashabet

tipobet

meritking

artemisbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

monobahis, monobahis giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

dinamobet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

pusulabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

casinoroyal

casinomilyon

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

bahiscom

Hacklink panel

jojobet

holiganbet

Google

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

artemisbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

türk ifşa

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

jojobet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet güncel

Featured Kitaifa

TFRA,TANGA KUSHIRIKIANA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA MBOLEA

Written by Alex Sonna
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Wakili Mnyema (katikati) akizungumza na wajumbe wa Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) waliofika ofisini kwake kueleza nia ya uwepo wao mkoani humo tarehe 18 Julai, 2023
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Wakili Mnyema (kulia) akimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Thobias Richard Mwesigwa wakati wa kikao kifupi ofisini kwa katibu tawala tarehe 18 Julai, 2023
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania Dkt. SHIMO Peter SHIMO (wa kwanza kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao kifupi na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Wakili Mnyema tarehe 18 Julai, 2023
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), baadhi ya menejimenti ya TFRA na watumishi wa kiwanda cha ABM cha Tanga walipotembelea eneo la machimbo ya madini yanayotumika kutengeneza visaidizi vya mbolea kiwandani hapo.

 

Na Mwandishi wetu-Tanga 
 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Wakili Mnyema, ameeleza uwepo wa changamoto ya wakulima mkoani humo kusita kutumia mbolea za viwandani kwenye shughuli za kilimo kutokana na imani kuwa mbolea inaharibu aridhi.
 
 
Ametoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kuendelea kushirikiana na ofisi yake katika kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea kwa wananchi wa mkoa huo ili waongeze tija kwenye uzalishaji.
 
 
Mnyema amesema hayo tarehe 18 Julai, 2023 ofisini kwake alipokuwa akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya TFRA na Menejimenti waliofika kueleza uwepo wao wenye lengo la kutembelea wazalishaji wa mbolea na visaidizi vya mbolea waliopo mkoani hapo.
 
 
‘‘Ni Bodi mpya lakini mmeanza na kasi kubwa katika kusimamia tasnia ya mbolea’’aliongeza Myema.
 
 
Kuna vitu vingi kama mkoa tumevipokea ikiwemo Wakuu wa Wilaya, makatibu Tawala ndani ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika nasi tunaendelea kuvasemea kwa wananchi na hata suala hili la kutoa ruzuku kwenye mbolea tutalisemea ili wananchi wajue jinsi Mama alivyowekeza kwenye kilimo, alimaliza.
 
 
Akikazia maneno ya Katibu Tawala Mnyema Mkurugenzi wa Bodi ya TFRA Thobias Mwesigwa amesema, elimu ya umuhimu wa matumizi ya mbolea unaeleweka zaidi kwa wamiliki wa viwanda vinavyozalisha bidhaa hiyo lakini watumiaji hawana elimu hiyo na hivyo kupelekea mwitikio mdogo wa kutumia mbolea kwenye kilimo.
 
 
Aliahidi kuifanyia kazi changamoto hiyo kwa kuweka mikakati ya kuhakikisha wazalishaji, Menejimenti na Ofisi za mikoa zinashirikiana katika kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea.
 
 
“Tumelichukua na tutalifanyia kazi kwenye vikao vyetu vya kiutendaji” Mwesigwa alisisitiza.
 
 
Kwa upande wake Mkurugenzi Dkt. Shimo Peter Shimo amesema agenda ya mbolea ni agenda iliyopewa kipaumbele kikubwa sana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kutoa wito kwa viongozi wa mikoa, wilaya mpaka ngazi za chini za serikali kuzungumzia kila wanapokuwa na vikao na wananchi.
 
 
Amesema kuzungumzia jambo hilo kutawafanya wananchi kuhamasika na kuiona kwa mapana thamani wanayopewa na viongozi wa nchi katika kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi.
 
 
Naye Mkurugenzi Hadija Jabiri ameiomba serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vya mbolea katika Mkoa wa Tanga na kueleza uzalishaji ukiwa ni mkubwa utasaidia kupunguza changamoto ya upatikanaji wa mbolea nchini na kupunguza utegemezi wa kuagiza mbolea nje ya nchi.
 
 
Akizungumza katika kikao hicho Gothard Liampawe Meneja wa TFRA Kanda ya Kaskazini amesema pamoja na Mkoa wa Tanga kuongoza kwa kuwa na viwanda vingi vya uzalishaji wa mbolea na visaidizi vya mbolea, bado mkoa huo umekuwa changamoto kwenye matumizi ya mbolea pamoja na elimu inayoendelea kutolewa.
 
 
Amesema TFRA imejitahidi kuondoa changamoto ya usambazaji wa mbolea iliyojitokeza msimu wa kilimo wa 2022/2023 KWA kuvitumia vyama vya ushirika vilivyotayari kushiriki katika kusambaza mbolea na tayari vyama hivyo vimepewa mafunzo ya uuzaji wa mbolea kwa kwa kutumia mfumo wa kidigitali ulioboreshwa.
 
 
Wajumbe haowalitembelea viwanda viwili vya uzalishaji wa mbolea na visaidizi vya mbolea ikiwa ni Neelkanth Chemmicals LTD na ABM na kushauriana namna bora ya kuhamasisha matumizi ya bidhaa wanazozizalisha Pamoja na kuheshimu Kanuni, Sheria na miongozo inayosimamia tasnia ya mbolea nchini.

About the author

Alex Sonna