Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

KIKWETE:GGML WAMEONESHA NJIA UDHIBITI VVU,VIJANA JIHADHARINI

Written by Alex Sonna
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera ya Tanzania Kiongozi wa msafara wa wapanda mlima Kilimanjaro, Henry Mazura (kulia). Rais Kikwete aliwaaga wapanda mlima 61 Julai 14 mwaka huu wanaoshiriki kampeni ya GGML KiliChallenge kwa lengo la kukusanya fedha za kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI.  Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TACAIDS, Jerome Kamwela.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Ummy Nderiananga (kulia) wakiwaaga wapanda mlima Kilimanjaro 61 wakiwamo 35 wanaouzunguka kwa baiskeli kupitia kampeni ya GGML KiliChallenge inayoratibiwa na kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na TACAIDS kwa lengo la kukusanya fedha za kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/ Ukimwi. Wapanda mlima hao waliagwa Julai 14 mwaka huu  katika lango la Machame na wanatarajiwa kurejea Julai 20 mwaka huu katika lango la Mweka.
NA MWANDISHI WETU
RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuonesha njia katika kuunga mkono malengo ya Serikali kwenye mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi kupitia Kampeni ya GGML Kili Challenge 2023.
Kampeni hiyo iliyoasisiwa na GGML mwaka 2002 kwa kushirikiana Taasisi ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) inalenga kukusanya fedha kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) na kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi.
Aidha, akizungumza mwishoni mwa wiki Julai 14, 2023 katika hafla ya kuwaaga wapanda mlima 35 na waendesha baiskeli 26 watakaopanda Mlima Kilimanjaro kuhamasisha uchangishaji wa fedha hizo, Kikwete ametoa wito kwa vijana kujihadhari na ngono zembe.
Hafla hiyo ilifanyika katika lango la Machame wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ambapo wapanda mlima hao watapanda na kurejea tarehe 20 Julai mwaka huu.
Alisema ni dhahiri kuwa maambukizi ya VVU bado yapo licha ya kufikia asilimia 4.7 lakini ni vema Watanzania hususani vijana wakajihadhari na ngono zembe kwa kutumia kinga.
“Kama mnapanga siku na saa ya kukutana, usisahau kinga… unamwambia mwenzako wewe utaleta au mimi! tena kujihadhari chukua yako weka mfuko. Tusiache kukumbushana,” alisema.
Pia aliipongeza pia Serikali kwa kuendelea kuunga mkono mapambano hayo na kuongeza bajeti lakini akasisitiza fedha hizo hazitoshi hivyo ni vema wadau mbalimbali nao wakajitokeza kuunga mkono kampeni hiyo ambayo ni endelevu.
“Wanaopanda mlima Kilimanjaro ni mashujaa nawapongeza kwa kuwa mfano wa kuigwa. Niwatie moyo na kuwatakia kilala kheri kwani mmefanya uamuzi sahihi wa kishujaa wa kijitoa kwa ajili ya wengine hongereni sana” amesema.
Aidha, akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong aliishukuru serikali kwa kuwaunga mkono katika kampeni hiyo.
Pia aliwatakia kilalakheri washiriki hao wanaopanda mlima Kilimanjaro na kuwaombea warejee salama.
Naye Kaimu Mkurugenzi Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini (Tacaids), Jerome Kamwela alisema wataendelea kushirikiana na GGML ili kuhakikisha ifikapo 2030 lengo la sifuri tatu linafikiwa.
Sifuri tatu maana yake kupunguza kabisa kwa kufikia asilimia sifuri ya maambukizi mapya, sifuri ya unyanyapaa pamoja na sifuri katika vifo vitokanavyo na UKIMWI.
Naye Naibu Waziri ofisi ya waziri mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Ummy Nderiananga alisema Serikali imeendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi kwa kuongeza bajeti ya Mfuko wa Udhibiti wa Ukimwi (ATF) kutoka Sh bilioni 14 hadi bilioni 25.
Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu alisema katika kuchangia kampeni hiyo mkoa huo umepanga kuchangia Sh milioni 51 na hadi sasa wamepokea fedha taslimu kutoka kwa wadau Sh milioni 31.
Aidha, Kiongozi wa Msafara wa wapanda mlima hao, Henry Mazura alisema wamejipanga kupanda mlima huo na kurejea salama.
Pia aliishukuru Serikali, GGML na wadau wengine kwa kuwatia moyo katika safari hiyo ngumu ikiwa ni ishara ya hamasa ya kukusanya fedha kwa ajili ya kampeni hiyo.

About the author

Alex Sonna