Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

WASIRA AIVAA CHADEMA KWA UPOTOSHAJI WA BANDARI

Written by Alex Sonna

 

* Awashutumu viongozi wa CHADEMA kuwa ni vibaraka wa mabeberu
 
* Asisitiza kuwa nchi wala bandari kamwe haziwezi kuuzwa
 
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wasira, ambaye alishiriki kwenye harakati za kudai uhuru kutoka kwa wakoloni mwaka 1961, amewashutumu vikali viongozi wa CHADEMA kwa kusambaza uongo kuwa nchi na bandari zimeuzwa, akisema kuwa chama hicho kinatumiwa na mabeberu kutaka kuvuruga uhuru, umoja, amani na utulivu nchini.
 
Akizungumza kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mkoani Mbeya jana uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi, Wasira amesema kuwa uongo wa makusudi wa viongozi wa CHADEMA kuwa nchi na bandari zimeuzwa una lengo la kuzua taharuki kwenye taifa.
 
“Tukaambiwa nchi imeuzwa na bandari zote zimeuzwa. Kwa kweli wananchi walikuwa na haki ya kushangaa na kushtushwa na jambo hili. Sasa kama nchi imeuzwa, sisi ni mbuzi?” Alihoji Wasira.
 
 “Tukatoka kwenye hoja ya kuuza bandari tukaingia kwenye utaifa na ukabila, tukaingia na Uzanzibari na Utanganyika. Sasa ni bandari, ni Uzanzibari au ni Utanganyika?”
 
Wasira alionya kuwa watu waongo ni hatari kuliko watu wengine wowote kwenye jamii au taifa.
 
“Ukiuliza nchi au bandari imeuzwa kwa bei gani wanasema wameuza tu, maana hawana jibu. Nchi haiwezi kuuzwa, maana hatukudai uhuru wa kuuza,” alisema Wasira, ambaye alikuwa kwenye TANU Youth League wakati wa harakati za kudai uhuru miaka 62 iliyopita.
 
“Mimi nimeonja ukoloni, nimeathiriwa na ukoloni na nilishiriki kudai uhuru. Unasema nchi yetu imeuzwa na uhuru wetu umeuzwa, halafu mimi nikae kimya?”
 
Wasira amesema kuwa kampuni binafsi yenye makao makuu Hong Kong, TICTS, iliendesha eneo la makontena la bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 bila kelele zozote na akawashangaa wanaotaka kuzua taharuki kwa uamuzi wa Serikali kufanya majadiliano na kampuni ya DP World kuhusu uwekezaji mkataba wa kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam, kama walivyopewa TICTS.
 
Kuhusu suala la usalama bandarini, alisisitiza kuwa eneo hilo nyeti la mipaka ya nchi litaendelea kuwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi la Tanzania na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kama zamani.
 
Alisema kuwa DP World inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa kwenye nchi zaidi ya 60 duniani, ikiwemo Uingereza, hivyo inaweza kuleta manufaa makubwa kwa Tanzania.
 
“Nchi yetu haiwezi kuuzwa chini ya CCM, labda kama ikiingia mikononi mwa vyama mawakala wa mabeberu ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana. Na sisi tunauliza kwani tulikubaliana nao tukae muda gani?” Alisema.
 
“Inaonekana hatukuelewana. Tulivyowaambia tunataka kujitawala hatukusaini mkataba wa miaka. Tulisema tunataka kujitawala kwa sababu tunataka kuamua mambo yetu wenyewe.”
 
Viongozi wakuu wa CHADEMA, ikiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu na Katibu Mkuu John Mnyika, wamekuwa wakipotosha kuwa bandari imeuzwa, lakini wameshindwa kutoa uthibitisho wowote kuwa bandari imeuzwa kwa Shilingi ngapi kwa mkataba upi wa mauzo.
 
Viongozi hao pia wamehusisha mjadala wa uwekezaji wa DP World na hoja ya Utanganyika na Uzanzibari, jambo ambalo Wasira amesema ni siasa za ubaguzi zenye lengo la kudhoofisha umoja na muungano wa Tanzania.

About the author

Alex Sonna