Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI KUANZISHA MASHAMBA YA MALISHO KUKABILIANA NA TATIZO LA KUFA KWA MIFUGO NCHINI

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Julai 14,2023 jijini Dodoma kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) Prof.Appolinaire Djikeng,akizungumza kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Afisa Programu kutoka AGRA Bw.Donald Mizambwa,akizungumza kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Meneja Mradi kutoka Shirika la Dalberg Bw.Jackson Mahenge,akizungumza kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi) Dkt. Nazael Madalla ,akizungumza kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega (hayupo pichani) wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14,2023 jijini Dodoma kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI imeanza kutekeleza mkakati maalumu wa kukabiliana na tatizo kubwa la kufa kwa mifugo kwa kukosa chakula na maji wakati wa kiangazi kwa kuanzisha mashamba makubwa ya malisho katika halmashauri 44 zinazoathirika mara kwa mara na tatizo hilo.

Hayo yamebainishwa  leo Julai 14,2023  jijini Dodoma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula  Afrika (AGRF 2023) ambao unatarajiwa kufanyika Septemba 5-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Waziri Ulega amewataka  wadau wa Mifugo na uvuvi nchini kuwa na utayari wa kushiriki mkutano huo (AGRF)ili kujadili mikakati na hatua madhubuti za kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika,ustawi wa uchumi na kuwezesha Afrika kuzalisha chakula na kujilisha yenyewe.

“Sisi kama Serikali tulianzisha mkakati wa mashamba darasa Kwa halmashauri 44 zenye Mifugo Kwa kuanzisha mashamba zaidi ya 100 ili kuwaonesha wafugaji kuwa inawezekana kulima,kuvuna na kuhifadhi Kwa faida zaidi,hii itaenda sambamba na urasilimishaji wa Kilimo cha majani na uhifadhi wa ardhi,pomoja na kuwa na Ranchi za asili,”amesema Waziri Ulega

Amesema kuwa Tanzania inaenda kuwa mwenyeji wa mkutano huo hivyo Ushiriki wa wadau wa kisekta watanufaika na fursa zitakazopatikana ikiwemo kukutana na wafanyabiasha mashuhuri na wawekezaji kutoka nchi mbalimbali hali inayotazamwa kufungua milango ya uwekezaji na mashirikiano kibiashara.

“Tumejipanga kuongeza uzalishaji Kufuatia jitihada za Rais Samia,tumejipanga kuongeza uzalishaji ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na kuuza ziada ya mazao ya mifugo na uvuvi katika nchi nyingine “amesema Ulega na kuongeza kuwa

“Ujio wa mkutano huo kwa Tanzania ni fursa adhimu ya wadau wetu kukutana na wafanyabiashara mashuhuri na wawekezaji kutoka katika nchi mbalimbali ulimwenguni ,hivyo itasaidia kufungua milango ya uwekezaji na kuongeza mashirikiano ya kibiashara kwa wadau wetu .”amesema 

Aidha amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Mkutano huo September 5-8,2023 Jijini Dar es Salaam.

”Mkutano huo utakaoongwa  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na kuhudhuriwa na Marais kutoka nchi mbalimbali za Bara  la Afrika pamoja na washiriki zaidi ya 3000 wanaojihusisha na mnyororo wa thamani wa Mifugo na chakula.”amesema Waziri Ulega

Hata hivyo Waziri Ulega amesema kuwa mkutano huo unatoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya maonyesho katika eneo la mkutano kwa lengo la kuonesha shughuli zinazofanyika katika minyororo ya mifumo ya chakula nchini lakini pia kutangaza biashara za wadau ili kupata mitaji na masoko ,hivyo ushiriki wa wadau ni muhimu ili waweze kunufaika na fursa hizo.
Pia Waziri Ulega ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha wadau kuandaa taarifa za Kampuni zao kwa ufasaha ili iwe rahisi kujitangaza na kuvutia wawekezaji,wafadhili na kuongeza wigo wa biashara zao.
“Nitoe rai kwa wadau ambao maeneo yao yatatembelewa wakati wa AGRF wawe tayari kushiriki kikao kikamilifu katika kutoa taarifa zitakazohitajika Kwa wageni wa AGRF watakao watembelea,kipekee natoa shukrani zangu kwa wenzetu wa ILRI na Dalberg kwa kuwezesha tukio hili,”alisisitiza

About the author

Alex Sonna