Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MRADI WA UBORESHAJI USALAMA WA MILKI ZA ARDHI KUSAJILI HATI ZA KIMILA 500,000

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Gift Msuya,akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

Meneja Urasimishaji ardhi ya vijiji kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) Bw. Joseph Osana ,akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

 

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe.Gift Msuya (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

Mtaalamu  wa Mamlaka ya Hali ya Hewa  Tanzania (TMA) Bw.Daniel Masunga,akizungumza wakati wa mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

Afisa Wilaya ya Chamwino Enock Mligo ,akitoa taarifa wakati wa mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

 Mkurugenzi Msaidizi idara ya uendelezaji vijiji na miji TAMISEMI Bi.Rachel kaduna ,akichagia mada wakati wa mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

Diwani kata ya Majeleko Mussa Omary, akichagia  wakati wa mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani humo uliofanyika leo Julai 14,2023 Wilayani  Chamwino Mkoani Dodoma.

Na.Alex Sonna- DODOMA 

WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inakusudia kupanga, kupima na kusajili hati za hakimilki za kimila 500,000 katika halmashauri sita nchini.

Hayo yamesemwa leo Julai 14,2023 na Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe.Gift Msuya, wakati akifungua mkutano wa wadau kujadili mpango wa matumizi ya ardhi wilayani Chamwino.

Mhe.Msuya amesema kuwa Wizara ya Ardhi, kupitia mradi huo iliichagua Chamwino kuwa miongoni mwa wilaya sita ambazo ni Mufindi, Songwe, Mbinga, Maswa na Longido.

“Mradi huu kwa wilaya hizi sita umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili hati za hakimilki za kimila 500,000 ambapo wilaya ya Chamwino inakusudiwa kunufaika na mradi huu kwa kuandaa mpango wa matumizi ya ardhi ya wilaya kwa vijiji 60.

“Mradi huu umeanza kutekelezwa na halmashauri yetu na ndio maana leo tumekutana hapa ili kujadili rasimu na hatimaye  tuweze  kuipitisha rasimu hii na kuwa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Wilaya ya Chamwino,”amesema Mhe.Msuya

Hata hivyo Mhe  Msuya amewataka wadau pamoja na wananchi kushiriki vyema katika utekelezaji wa mpango wa matumizi ya ardhi kupitia mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi

“Nawaomba mchukue mradi huu kama fursa kwenu na kutoa ushirikiano thabiti ili kufanikisha utekelezaji wake na kutatua changamoto hizi Maeneo mengi yalitamani kupata fursa kama hii lakini kutokana na uchache wa rasilimali hawakufanikiwa kufikiwa na mradi”ameeleza Mhe. Msuya

Kwa upande wake Meneja Urasimishaji ardhi ya vijiji kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) Bw. Joseph Osana amesema kuwa mradi umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5

”Ambazo zinazojumuisha hati milki 1,000,000 na leseni za makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na hati za hakimilki za kimila 500,000 vijijini.”amesema Bw.Osana

Naye Mmoja wa wanufaika wa mradai huo Mwenyekiti wa kijiji cha Ng’ambaku Juma Muyeya, amesema kuwa  anaishukuru serikali kwa mradai huo kwakuwa umesaidia kumaliza mgogoro baina ya kijiji chake na kijiji jirani cha Chiboli uliodumu kwa Zaidi ya mika 40.

About the author

Alex Sonna