Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Uncategorized

WAZIRI JAFO AWATAKA WANANCHI KULINDA MIUNDOMBINU YA MIRADI YA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Watendaji Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi katika Shehia ya kiongoni katika bonde la mto tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Watendaji Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi katika Shehia ya kiongoni bonde la mto tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar Julai 12, 2023. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Omar Shajak

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Watendaji Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi katika Shehia ya kiongoni bonde la mto tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar Julai 12, 2023. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Omar Shajak na kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Bi Farhia Ali Mbarouk

Mmoja wa wananchi wa Sheia ya Tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba akitoa salamu za shukrani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.  Dkt. Selemani Jafo mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Sheia hiyo wakati wa ziara yake ya  kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi katika Shehia ya kiongoni bonde la mto tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akikagua mradi ya tuta katika Shehia ya kiongoni bonde la mto tovuni Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar aliyoifanya jana katika kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Omar Shajak.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akikagua mradi ya tuta katika Shehia kiongoni bonde la mto  tovuni Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar aliyoifanya jana katika kukagua mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabia nchi unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Omar Shajak.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amewataka wananchi kuendelea kutunza miundombinu ya utekelezaji wa miradi ya mazingira iliyopo katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzuia uharibifu wa mazingira na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi.

Dkt. Jafo ameyasema hayo Julai 12, 2023 wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi tuta kupitia Mradi wa kuongeza uhimili wa mabadiliko ya tabianchi unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais katika Shehia ya kiongoni bonde la mto tovuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar.

Kwa mujibu wa Jafo amesema athari za mabadiliko ya tabianchi kwa sasa zimeanza kujionyesha katika baadhi ya maeneo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akitolea mfano Wilaya za Longido, Simanjiro na Kiteto ambapo dalili za wazi zimejionesha kwa mifugo kupoteza maisha kutokana na hali ya ukame.

“Kule Bara kwa sasa ukienda Wilaya za Longido, Simanjiro na Kiteto wafugaji wengi mifugo yao inakufa kwa sababu hakuna maji wala hakuna malisho na mito mingine imekauka maji na mfano mzuri ni Mto wa Ruaha Mkuu ambao uliopoteza uwezo wa kutitirisha maji kwa muda wa siku 100” amesema Waziri Jafo.

Akifafanua zaidi, amesema kuwa kutokana na ukubwa wa athari za mabadiliko ya tabia nchi pia baadhi ya maeneo ya Zanzibar ikiwemo kisiwa cha Pemba pia kumeanza kujionesha kwa dalili mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa kina cha maji ya bahari hatua inayosabisha maji ya bahari kuingia katika maeneo ya wananchi.

Kutokana na changamoto hiyo, Waziri Jafo aliwataka wananchi wa Sheia ya Tovuni kulinda miundombinu ya ujenzi wa mradi unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kutokana na eneo kuwa ni miongoni yaliyopo katika hatari kubwa ya kumezwa na maji ya bahari.

“Maji haya ya bahari yakiingia katika mashamba yanasababisha mkulima aliyezoea kulima mazao ashindwe kuendelea na kilimo ikaonekana maeneo mengine ni lazima yawekwe matuta. Ofisi yangu kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar tulifanya ziara ya miradi mbalimbali ya TASAF ili kujionea maeneo yote yanahitaji ujenzi wa matuta ili kuzuia maji ya bahari kuingia katika mashamba” amesema Dkt. Jafo.

Kwa mujibu wa Dkt. Jafo amesema ameamua kutembelea mradi huo wa kuhimili mabadiliko ya tabia nchi unaoratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais kutokana na historia ya mradi huo kunaonesha mafanikio makubwa ambayo tayari yameanza kupatikana kupitia shughuli za kilimo zinazoendeshwa na wananchi” amesema Dkt. Jafo.

Waziri Jafo amesema wanufaika wa mradi huo hawana budi kulinda miundombinu ya mradi kwani ni jambo la msingi katika kuhakikisha hakuna shughuli nyingine za kibinadamu zitazofanyika katika eneo hilo ikiwemo ufugaji kwa kuwa kusababisha kuporomoka kwa udongo uliopo katika tuta hilo.

“Tuzuie lango la maji, tufanye kazi vizuri ya kulinda maji ya bahari yasiye kuchanganyika na maji ya eneo la mashamba haya na kusababisha mafuriko ya maji yatakayosabaisha tuta lililopo eneo hilo kuzidiwa na kusababisha kupasuka na kuleta hasara ambayo ingeweza kudhibitiwa” amesema Dkt. Jafo.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Dkt Omar Shajak amemhakikishia Waziri Jafo kuwa maelekezo yote aliyatoa kwa Ofisi yake yatafanyika kazi ili kuhakikisha kuwa mradi huo unaleta tija na manufaa yaliyokusudiwa.

“Mhe. Waziri maelekezo yako tumeyasikia, Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ndiyo msimamizi wa masuala ya mazingira hapa Zanzibar na pia katika ziara hii pia nimeongozana na Mkurugenzi wa Mazingira wa Ofisi hii, Bi. Farhia Ali Mbarouk ambaye pia amesikia maelekezo yako” amesema Dkt. Shajak

Naye Afisa kutoka Wizara ya Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Bw. Mbaraka Mgau amesema ujenzi wa mradi huo ulianza Januari 2021 na kukamilika Juni 2021 ambapo jumla ya wakulima 271 wa Shehia ya kiongoni katika Bonde la Tovuni wananufaika kupitia mradi huo. 

Akifafanua zaidi Bw. Mgau amesema kabla ya kuanzishwa kwa mradi katika eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 6 mazingira ya eneo hilo la mashamba liliathirika kwa kiasi kikubwa na maji ya bahari ambayo yaliingia kwa kasi kubwa katika mashamba ya wananchi na hatua iliyorudisha nyuma juhudi za uzalishaji wa mazao ya wakulima ikiwemo kilimo cha mpunga.

“Huu ni msimu wa pili wa mavuno tangu mradi huu uanzishwe, ambapo kiwango cha mavuno ya zao la mpunga kimeongezeka kutoka tani moja hadi tani moja na nusu. Tunashukuru Kamati iliyoundwa na wakulima wa Shehia hii kwa kutupatia ushirikiano mkubwa katika kutekeleza mradi” amesema Mgau.

About the author

Alex Sonna