Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

VIONGOZI WA DINI TOENI ELIMU YA MALEZI KWA WANANDOA:WAKILI MPANJU

Written by Alex Sonna

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amoni Mpanju, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa wadau wa Malezi na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto,uliofanyika leo Julai  13, 2023 Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake Makundi Maalum Sebastian Kitiku ,akielezea lengo la Mkutano wa kitaifa wa wadau wa Malezi na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto,uliofanyika leo  Julai 13, 2023 Jijini Dodoma,

Mtaalamu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya binadamu(NIMRI) ambaye pia ni mtafiti wa Malezi na kupinga ukatili dhidi ya watoto Dkt. Joyce Wamoyi akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa taifa wa wadau wa Malezi na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto, Julai 13, 2023 Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wadau wa malezi na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto nchini wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Taifa wa wadau hao, Julai 13, 2023 Jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amoni Mpanju,amewataka Viongozi wa Dini pamoja na wasimaminzi wa ndoa nchini kutoa elimu ya malezi ya Mtoto kwa wanandoa kipindi cha uchumba ili kupunguza ukatili unatokea kwa asilimia 60 ndani ya familia.

Wakili Mpanju ameyasema hayo leo Julai 13,2023 jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa Taifa wa Wadau wa Malezi na kutokomeza ukatili dhidi ya watoto.

Mpanju amesema ukosefu wa elimu sahihi ya malezi na makuzi kwa wazazi na walezi hasa kwa watoto wa kiume ni miongoni mwa sababu zinazochochea mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa watoto na vijana nchini.

‘’Haiwezekani tunaviongozi wa Dini wanafungisha ndoa, sasa kama tumewapa leseni ya kufungisha ndoa basi kwenye uchumba wawaandae vizuri wajue siyo kwenye ndoa wanaenda kustarehe tendo la ngono , wawaandae ili wajue majukumuu yao, hili ni jukumu la viongozi wa dini na wakimila, siyo wanafungisha ndoa wanaitupia serikali mzigo , je misingi ya kuwapata hawa wasiaminzi wa ndoa inafuatwa , siku hizi unamtafuta mtu kisa ni mweupe mnaenda basi anakuwa msimaminzi wakati huo yeye mwenyewe ndoa yake inamshinda atakujaje kusimamia yakwangu,’’ amesema wakili Mpanju.

Hata hivyo  amesema ipo haja kwa wazazi na walezi kuja na mfumo mzuri wa malezi wenye kushinikiza uwajibikaji wa baba na mama katika kuboresha malezi na ulinzi wa watoto.

“Kwa mujibu wa Taarifa ya Makosa ya Ukatili wa Kijinsia na Unyanyasaji za Jeshi la Polisi kwa watoto kwenye kipindi cha Januari hadi Disemba, 2022 kulikuwa na matukio 12,163 (Wavulana 2,201 na Wasichana 9,962 nchini. Matukio yaliyoongoza ni Ubakaji (6,335), ulawiti (1,557) na Mimba za utotoni matukio (1,555).amesema Mpanju na kuongeza

“Serikali inathamini sana watoto kwa kutambua ndiyo rasilimali muhimu kwa ujenzi wa Taifa, hivyo imekuwa ikichukua hatua za makusudi kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na kukuza maadili kwenye familia na jamii” Amefafanua Mpanju.

Aidha wakili Mpanju amewataka wadau wanaotekeleza afua za malezi dhidi ya Mtoto kushirikiana na Tamisemi hasa katika ngazi ya halmashauri ili kuandaa mkakati wa Ulinzi na malezi kwa mtoto na kuona namna zitakavyotatuliwa.

Naye  Mkurugenzi wa idara ya Maendeleo ya Mtoto Sebastian Kitiku amesema, jamii inahitaji tafiti za mara kwa mara ili kujua maeneo ambayo yanatakiwa kutiliwa mkazo kwenye masuala ya malezi na makuzi ya Mtoto yanayozingatia shahidi na afua za kisayansi

”Changamoto za malezi zipo nyingi na moja ya sababu zinazopelekea ni mwingiliano wa mila na desturi za jamii mbali mbali, na maendeleo ya teknolojia ya Habari.”amesema Bw.Kitiku

Akizungumza kwa niaba ya ISC, NIMRI na vyuo vikuu vya Oxford na CapeTown Mkurugenzi wa ICS Tanzania Kudely Sokoine amesema wameshirikiana kwa pamoja kuekeleza ajenda hiyo na mpango wa kujenga mazingira wezeshi ya kisera ili kuongeza na kupanua wigo wa utekelezaji wa Afua za malezi unaozingatia ushahidi wa kisayansi ili kupunguza ukatili dhidi ya wanawake na watoto

“Malengo Mahususi na Maalum ya mpango huu nikufanya upembuzi kuangalia sera za Tanzania katika masuala ya malezi, aidhaa tumejaribu pia kuangalua afua zinazotekelezwa na wadau, Mpango huu unaunga mkono jitihada za Viongozi wa Tanzia akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na wadau wengine.”amesema Kudely

About the author

Alex Sonna