Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

betasus

aresbet, aresbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

vaycasino

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

sweet bonanza

jojobet giriş

sweet bonanza

sweet bonanza siteleri

deneme bonusu

holiganbet

grandpashabet

radissonbet

wbahis

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

teosbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

queenbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Betsin Güncel Giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

holiganbet

betsat

betsat

jojobet

jojobet

kasibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

pusulabet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

superbetin

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

Hacklink panel

tümbet

milanobet

test55

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO: MIFUMO YA KISHERIA HAITOKUWA KIKWAZO UTEKELEZAJI WA FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo mafunzo ya Wabunge hao na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu  usimamizi wa fedha za mfuko wa Jimbo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Zanzibar katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Haji Amour Haji na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muuungano), Bw. Abdallah Hassan Mitawi. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Julai 10, 2023 katika ukumbi wa Bunge uliopo Tunguu, Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na Mbunge wa Makunduchi, Mhe. Haji Amour Haji muda mfupi baaada ya kuwasili katika Ofisi za Ukumbi wa Bunge zilizopo Tunguu, Zanzibar Julai 10, 2023 kwa ajili ya kufungua mafunzo ya Wabunge  na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu  usimamizi wa fedha za mfuko wa Jimbo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na Wabunge wa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar mfupi baaada ya kuwasili katika Ofisi za Ukumbi wa Bunge zilizopo Tunguu, Zanzibar Julai 10, 2023) kwa ajili ya kushiriki mafunzo ya Wabunge hao na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu  usimamizi wa fedha za mfuko wa Jimbo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Bw. Abdallah Hassan Mitawi wakati wa mafunzo kwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar yaliyohusu usimamizi wa fedha za mfuko wa jimbo. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Julai 10, 2023 katika ukumbi wa Bunge uliopo Tunguu, Zanzibar.

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar wakifuatilia mafunzo kuhusu usimamizi wa mfuko wa maendeleo ya jimbo wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Bunge uliopo Tunguu, Zanzibar Julai 10, 2023.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Bw. Issa Mahfoudh Haji wakati wa mafunzo kuhusu usimamizi wa mfuko wa Jimbo. Mafunzo hayo yamefanyika Julai 10, 2023 katika Ukumbi wa Bunge uliopo Tunguu, Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiteta jambo na Naibu Katibu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kulia) na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar Mhe. Haji Amour Haji. Mafunzo hayo yamefanyika 10, 2023 katika ukumbi wa Bunge uliopo Tunguu, Zanzibar

Mbunge wa Jang’ombe, Zanzibar Mhe. Ali Hassan Omar akichangia mada wakati wa warsha ya mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar kuhusu usimamizi wa mfuko wa jimbo. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika katika Ofisi za Bunge, Tunguu Zanzibar.

Mbunge wa Mahonda, Zanzibar Mhe. Abdullah Ali Mwinyi akichangia mada wakati wa warsha ya mafunzo kwa wabunge wa Bunge la Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar kuhusu usimamizi wa mfuko wa jimbo. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Julai 10, 2023 katika Ofisi za Bunge, Tunguu Zanzibar.

Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Wankyo Mkono akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar kuhusu usimamizi wa mfuko wa jimbo. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Julai 10, 2023 katika Ofisi za Bunge, Tunguu Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akizungumza jambo wakati wa mafunzo kwa Wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu usimamizi wa mfuko wa jimbo. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika Julai 10, 2023 katika Ofisi za Bunge, Tunguu Zanzibar.  Kushoto ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar Mhe. Haji Amour Haji na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Khamis Hamza Khamis.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na (Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza jambo na mmoja wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar muda mfupi baada ya kufunga mafunzo ya siku kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar kuhusu usimamizi wa mfuko wa Jimbo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Na.Mwandishi Wetu-ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewahakikishia Wabunge wa Zanzibar kuwa Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMTZ) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zitaendelea kuweka mifumo wezeshi ya upatikanaji wa fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo ili kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati.

Waziri Jafo ameyasema hayo Mjini Zanzibar wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kwa Wabunge na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu usimamizi wa fedha za mfuko wa Jimboyaliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo za Bunge Tunguu, Mjini Zanzibar.

Amebainisha kuwa katika kipindi cha miaka miwili wa Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na ile ya Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Zanzibar inaendelea kupokea kiasi kikubwa cha fedha za utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayolenga kuleta matokeo channya kwa wananchi

Waziri Jafo amesema ili kuhakikisha kuwa miradi hiyo inaleta matokeo yaliyokusudiwa, Serikali zote mbili zitaendelea kuweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya usimamizi wa fedha za miradi kwa kuwa ndio kipaumbelecha viongozi katika kuwaletea maendeleo wananchi wa pande zote za Muungano.

“Jambo la matumizi ya mifumo ni suala la kidunia, kwa mfano kwa sasa kuna mfumo wa TANEPS katikamanunuzi, mfumo huu hatuwezi kuepukana nao, suala la msingi na muhimu ni kuhakikisha kuwa vipaumbele vya miradi tuliyoipanga kuitekeleza katika majimbo yetu  inazingatia kanuni taratibu zilizopo” amesema Dkt. Jafo.

Aidha Dkt. Jafo amewataka Wabunge kuwa wabunifu katika kusimamia na kutekeleza miradi  ya maendeleo inayoelekezwa katika majimbo yao kupitia fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo na kuongeza kuwa Serikali zote mbili zitahakikisha kuwa fedha zote za miradi ya maendeleo zinafika kwa wakati na kutekeleza miradi yote iliyokusudiwa kuwanufaisha wananchi.

Waziri Jafo amesema wapo baadhi ya wabunge walioomba kubadilishwa kwa sharia ya mfumo wa jimbo ikiwemo kutoa mamlaka kwa Wabunge kuwa maafisa masuhuli wa fedha za mfuko ambapo amesema jambo ambalo ni gumu kutekelezeka kwa mujibu wa taratibu za sheria zinazosimamia mfuko huo.

Akifafanua zaidi, Waziri Jafo amesema ni ukweli ulio wazi kuwa fedha za mfuko wa jimbo zimekuwa na mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya majimbo na hivyo Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zitaendelea kuratibu ushauri wa kitalaamu wa namna ya kuhakikisha fedha za mfuko zinawafikia walengwa.

Waziri Jafo amewataka Watendaji na wabunge kuimarisha mahusiano na ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao na kutokuwa kikwazo katika ufanisi wa utekelezaji wa maendeleo inayosimamiwa na fedha za mfuko wa jimbo katika maeneo yao ya kazi kwani dhamira ya Serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi.  

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali itahakikisha inafanyia kazi hoja na maoni yote ya Kamati za Mfuko wa Jimbo kwa kusimamia kikamilifu utoaji wa fedha kwa kuwa manufaa ya miradi hiyo tayari yameonekana kwa kuleta matokeo jamii katika jamii mbalimbali.

“Tunatambua kuwa zipo baadhi ya changamoto kadhaa za fedha za mfuko wa jimbo ikiwemo makato ya kodi, Serikali itahakikisha kuwa suala hilo linashughulikiwa ili ifike wakati kwa fedha za mfuko wa jimbo zinaondolewa kodi na kumaliza kilio hiki cha muda mrefu cha Wabunge” amesema Mhe. Khamis

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar, Mhe. Haji Amour Haji aliishukuru Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuandaa mafunzo hayo ambayo ni mwanzo wa hatua muhimu za Serikali zote mbili inalenga kushughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usimamizi wa fedha za mfuko wa jimbo.

Naye Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Dkt. Islam Seif Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) kwa pamoja zimeendelea kushughulikia changamoto mbalimbali za mfuko wa maendeleo ya jimbo ikiwemo suala la upatikanaji wa fedha kwa wakati.

Aidha Dkt. Salum amesema matumizi ya mifumo ya kamwe hayawezi kuepukika usimamizi wa fedha za utekelezaji wa miradi ya fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo kwani dunia ipo katika hatua kubwa za mabadiliko ya sayansi na teknolojia na kuongeza kuwa ni wajibu na Wabunge na watendaji kuendelea kuzingatia uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo.

Mafunzo hayo ya siku moja yalihudhuliwa na Wabunge wa Majimbo 50 ya uchaguzi ya Zanzibar yakiwemo Majimbo 32 ya upande wa Unguja na Majimbo 18 ya upande wa Pemba. Mafunzo hayo yanatarajia kufanyika pia katika majimbo ya Pemba kuanzia tarehe 12 Julai, mwaka huu.

About the author

Alex Sonna