Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Michezo

NAIBU WAZIRI KATAMBI:SERIKALI ITAENDELEA KULINDA MASLAHI YA VIJANA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akiongea na washiriki wa bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akikagua timu katika bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akiongea na washiriki wa bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania, lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu.

Sehemu ya vijana walioshiriki katika bonanza hilo la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi (hayupo pichani).

Mkurugenzi wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA, Dkt. Tuhuma Tulli akieleza jambo wakati wa bonanza hilo lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

Vikundi mbalimbali vya michezo vikiwa katika uwanja wa Jamhuri wakati wa bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania lililofanyika Mkoani Morogoro.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA wakati wa bonanza hilo lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Wa sita kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

Na: Mwandishi Wetu – MOROGORO

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda maslahi yao wakati wote.

Pia, Mheshimiwa Katambi ametoa wito kwa vijana nchini kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kupitia programu za kuwawezesha na miradi mikubwa ya kimkakati ili waweze kujikwamua kiuchumi na kutatua changamoto ya ajira miongoni mwa vijana.

Mhe. Katambi ameyasema hayo leo Julai 8, 2023 wakati akifungua bonanza la michezo la vijana wa mradi wa USAID KIJANA NAHODHA unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania, ambalo limefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

Amesema kuwa, Serikali imedhamiria kuwajengea vijana uwezo wa masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, utamaduni na kiafya ili kuwa na nguvukazi imara.

“Michezo ni afya na michezo ni maisha, hivyo niwahamasishe vijana kuchangamkia fursa hii ili kuimarisha afya zenu kimwili na kiakili kwa kujenga taifa lenye nguvu kazi ya vijana walio imara na pia kutumia michezo hii kama chanzo cha ajira,” amesema

Vile vile, Naibu Waziri Katambi amesema Mradi huo wa USAID Kijana Nahodha ni miongoni mwa jitihada zinazochukuliwa na serikali kwa kushirikiana na mataifa na wadau wa maendeleo nchini katika kuimarisha ustawi na maendeleo ya vijana kiuchumi na kijamii.

Akizungumza awali, Mkurugenzi wa mradi huo, Dkt. Tuhuma Tulli, amesema mradi huo unafadhiliwa na USAID na unalenga kusaidia vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 25 hususan walio nje ya mfumo rasmi wa elimu kwa kuwapatia mafunzo ya ufundi stadi, ujuzi, ujasiriamali, kilimo, masuala ya afya, uraia na uongozi.

“Bonanza hili ni sehemu ya kuhamasisha vijana wetu kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazo wainua kiuchumi na kuwafanya kuwa raia bora wa taifa lao na viongozi bora baadae,” amesema

About the author

Alex Sonna