Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

DKT. SAMIA AWATAKA WANA-MBARALI WAENZI MAZURI YA MBUNGE WAO

Written by Alex Sonna
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipowaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Mtega, Katika uwanja wa mpira wa Chimala Wilaya ya Mbarali, Mkoani Mbeya Julai 04, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wana-Mbarali wamuombee na kuenzi mazuri yote aliyofanya enzi za uhai wake aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Francis Mtega.

Hayo yamesemwa leo (Jumanne, Julai 4, 2023) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipoongoza waombolezaji kuaga mwili wa Mheshimiwa Mtega katika uwanja wa mpira wa Chimala, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia anamfahamu Mheshimiwa Mtega kutokana na uhodari na uwezo wake wa kusimamia ajenda muhimu za wana-Mbarali na za kitaifa katika kipindi chote cha utumishi wake akiwa Mbunge.

“Pamoja na salamu hizo za pole za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, ninaungana naye kuendelea kuwasisitiza kumuombea Mheshimiwa Mtega na kuenzi yote mazuri aliyofanya ili iwe alama ya kumuenzi na kumuombea wakati wote.”

Naye, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa Bunge limeumizwa na kifo cha Mheshimiwa Mtega kutokana na mchango wake mkubwa kwa Wana-Mbarali.  

“Mheshimiwa Mtega alikuwa mtu mpole, mstaarabu na mfuatiliaji wa ajenda zote za Wana-Mbarali, alikuwa ni mtu mwema.”

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amesema kuwa alimfahamu Mheshimiwa Mtega kutokana na ushujaa na uhodari wake wa namna alivyokuwa akiwatetea wana-Mbarali likiwemo suala la GN.

“Kutokana na juhudi zake, nilikiri kwamba huyu ndiye mwakilishi wa wananchi. Alikuwa ni shujaa, jambo hilo ni zito, halihimiliki lakini tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu atutie nguvu.”

Marehemu Mtega alifariki Julai mosi, 2023 kwa ajali ya kugongwa na trekta shambani kwake Mbarali, mkoani Mbeya.

About the author

Alex Sonna