Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

bodrum escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

matbet

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI BASHE AIPA KONGOLE KAMISHENI NA TUME YA USHIRIKA KWA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA SERIKALI

Written by Alex Sonna
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Na.Alex Sonna-TABORA
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe amepongeza Kamisheni na Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kutekeleza maelekezo ya serikali na kuja na Mfumo wa kidigitali wa Usimamizi wa Ushirika na kusisitiza Mfumo huo usomane na ule wa kusajili wakulima.
Akizungumza Julai mosi, 2023 mkoani Tabora kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia, Bashe amesema “Tuwe na mfumo mmoja ambao utamsajili mkulima na kuonesha miamala ya mkulima ya kila siku.”
Aidha, amesema serikali imejipanga kuviwezesha viwanda hapa nchini vinavyozalisha mbolea kwa kununua mbolea yote itakayotolewa kwa ruzuku kwa wakulima.
Amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha mbolea inapatikana kwa wakati kwenye msimu wa kilimo na kuondokana na ucheleweshaji uliojitokeza msimu uliopita.
Naye, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, amesema Kamisheni itahakikisha inasimamia Ushirika ili kuwa na mabadiliko chanya.
Nsekela amesema wadau wa Ushirika nchini walikutana na kuangalia maeneo saba ambayo ni ukamilishaji wa Mfumo wa Usimamizi wa vyama hivyo utakaofanya shughuli za ushirika zinakuwa kidigitali.
“Kuendelea kusimamia uanzishaji wa Benki ya Ushirika, maamuzi yaliyofikiwa itakapoanzishwa asilimia 51 ya hisa imilikiwe na wanaushirika na asilimia 49 imilikiwe na watu binafsi na mashirika mbalimbali na hadi sasa Shilingi Bilioni sita zimekusanywa na jitihada zinaendelea kuhakikisha zinakamilika kabla ya mwaka huu kuisha,” amesema.
Mwenyekiti huyo amesema wanatilia mkazo vyama hivyo kujiendesha kibiashara na kuwekeza mali zao kwenye uzalishaji.
Kwa upande wake, Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini, Dkt. Benson Ndiege, amesema hadi sasa kuna vyama vya ushirika 7,300 vimeandikishwa na kati yake asilimia 72 ni vyama vya ushirika visivyokuwa vya kifedha.
Amesema asilimia 28 ni vyama vya ushirika vya kifedha na kwenye vyama hvyo kuna wanachama 8,358,326 ikiwa ni ongezeko la wanachama 1, 393, 000 kwa idadi ya waliokuwepo mwaka jana na vimetoa ajira rasmi kwa Watanzania 146,545.
Kuhusu ukaguzi wa vyama hivyo, Mrajis amesema ukaguzi ulibaini changamoto mbalimbali na wameendelea kuchukua hatua na mwaka huu imevunja bodi za vyama 55 ambavyo vilibainika kuwa na tatizo la usimamizi.
Aidha, amesema kuna mashauri 30 yapo chini ya polisi kwa ajili ya uchunguzi na 47 chini ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
“Pia hadi Machi 2023 vyama vya kifedha 780 vimepatiwa Leseni kwa mujibu wa sheria na vina mtaji wa Shilingi Trilioni 1.6 na akiba zenye thamani ya Shilingi Bilioni 803 na Amana zilizofikia Shilingi Bilioni 713.6 huku mali za vyama hivyo zikifikia thamani ya Shilingi Bilioni 945.3,”amesema.
Awali, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Rashid Chuachua, amesema serikali ya Mkoa wa Tabora imehimizwa uwepo wa ushirika wa kisasa unaowajibika kwa wadau kwenye makundi ya uzalishaji mali ya uongezaji thamani mazao na huduma za kilimo.
“Tunashukuru Wizara kwa kuleta wanunuzi wapya wa tumbaku ambao wamechangia uzalishaji kuongezeka,” amesema.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Rashid Chuachua,akielezea mkoa wake unavyoshirikiana na wanaushirika wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika  Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe.Mariam Ditopile,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
 Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini, Dkt. Benson Ndiege,akitoa taarifa ya ushirika nchini wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela,akielezea mikakati ya Kamisheni ya TCDC katika kuimarisha ushirika wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika  Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Moshi (MoCU) Prof.Alfred Sife,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe.Kemirembe Lwota,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Katibu Mtendaji wa Shirika la Vyama vya Ushirika (TFC) Bw.Alex Ndikilo,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndg Hassan Makasuvi,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
        
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania, (TFC) Charles Jishuli,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
  
Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika  Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,akizindua mfumo wa MUVU wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,akikabidhi Tuzo kwa washindi mbalimbali wakati wa  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya   kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Dunia,yaliyofanyika Julai Mosi,2023 Mkoani Tabora.

About the author

Alex Sonna