Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI CHINA LEO

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 2-7-2023, akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini humo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar  akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman  Abdulla na Viongozi wengine,  mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa VIP  baada ya kuwasili 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, alipowasili Zanzibar akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban,  Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang  Zhisheng, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rai,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi wengine wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini humo .(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor