Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

sapanca escort

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Jojobet

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren siteler

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

bedava deneme bonusu

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

betist

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

WAZIRI DKT. BITEKO AAGIZA UZALISHAJI KATIKA MGODI WA MWADUI UANZE , BWAWA JIPYA LIMEJENGWA

Written by Alex Sonna
Mhandisi Mwelekezi wa Mradi wa Ujenzi wa bwawa la tope katika mgodi wa Williamson Diamond Limited, Mhandisi Anael Macha akimuonesha eneo la bwawa jipya katika Mgodi wa Mwadui Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameagiza Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga kuanza shughuli za Uzalishaji kuanzia Julai 15 baada ya kuridhishwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa baada ya kingo za Bwawa la Maji Tope kubomoka.

Novemba 7,2022 Bwawa la tope la mgodini katika mgodi wa Mwadui lilipasuka na kuharibu makazi na mashamba ya wananchi wa vijiji vya Ng’wanholo na Nyenze vilivyopo katika Kata ya Mwadui Luhumbo  wilayani Kishapu kwa kufunikwa na tope.
 
 
Akiwa katika Mgodi huo leo Ijumaa Juni 30, 2023 kwenye ziara yake ya kikazi, Waziri Dkt. Biteko ametoa agizo la uzalishaji kuanza baada ya kujionea hali halisi ya ujenzi wa bwawa la kuhifadhi tope laini la mgodini ambalo ujenzi wake umefikia 97% na bwawa la maji la wananchi la Ng’wang’holo ambalo ujenzi wake umefikia 98% pamoja asilimia 98% ya ulipaji fidia.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko
 
“Ulipaji wa fidia mbalimbali umefikia asilimia 96%. Kulikuwa na malalamiko 66 yameshashughulikiwa 61 bado matano ambapo tunaamini wiki inayokuja tutakuwa watakuwa wameyamaliza. Nimefurahi kuwa ujenzi wa bwawa la maji tope umekamilika tena limejengwa kwa Engineering tofauti na lililopasuka. Tutatoa vibali wiki inayokuja ili mgodi huu uanze mara moja”,amesema Waziri Biteko.
 
“Nachukua nafasi hii kumuomba Mhe. Mkuu wa Mkoa pengine tarehe 15 Julai 2023 kama ana nafasi aje ashuhudie kuanza kwa uzalishaji wa mgodi huu. Madini tunayoyategemea sana ni dhahabu aina ya pili tunayoyategemea kwa mapato ni almasi sasa kwa kipindi cha miezi sita tulisimama kwa sababu mara ya mwisho tumeenda sokoni ilikuwa Desemba hatujawahi kwenda tena kwa hiyo tumepotea sokoni kwa muda mrefu, tunatamani huu mgodi uanze mara moja ili turudishe mapato tuliyokuwa tunayapata lakini muhimu sana ajira za Watanzania ambao wapo kwenye mgodi huu zisipotee”,ameeleza Mhe. Biteko.
 
Ametoa kwa wito kwa mgodi huo uanze uzalishaji mara moja lakini waanze baada ya kuwa wamekamilisha taratibu zote za kuhakikisha kwamba linakuwa na bwawa imara.
Muonekano wa sehemu ya bwawa jipya katika Mgodi wa Mwadui
 
“Tunataka kuhakikisha kwamba tunakuwa na bwawa imara zaidi kuliko lililokuwepo na watuandikie kabisa commitment letter kwamba hili bwawa tunathibitisha na utalaamu halitaweza kuleta madhara, likileta madhara tujue tunawashughulikia kwa namna gani”,amesema Waziri Biteko.
 
 
“Namshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alichukua muda kukutana na Mtendaji Mkuu wa Williamson Diamond Limited,alieleza matatizo yaliyopo katika Mgodi na Mhe. Rais akaahidi kwamba sisi tuyasimamie kwa haraka tuyamalize ili mgodi uanze kufanya kazi. Nataka nimhakikishie Mhe. Rais kwamba maelekezo yake tunayafanyia kazi na huu mgodi sasa unarudi kwenye Operation na sisi Wizara ya Madini ndiyo wasimamizi wa sekta hii tutahakikisha kila aina ya uchimbaji wa kufuata sheria na taratibu ili watu wabaki salama na fedha tuzipate, ajira zibaki, kodi tupate vyote vinazingatiwa”,ameongeza.
 
 
Amewashukuru wananchi kwa utulivu wao pamoja na Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, serikali ya Mkoa , Wilaya kwa usimamizi wa karibu wa jambo hilo vinginevyo lingezua matatizo mengi na mijadala mingi.
 
 
Kwa upande wake, Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda amesema wapo tayari kuanza uzalishaji muda wowote wanachosubiri ni kibali tu.
“Ujenzi wa bwawa la maji ya wananchi Ng’wang’holo umefikia asilimia 98, bwawa la kuhifadhi tope laini la mgodini asilimia 97 na 96% ya utoaji fidia mbalimbali kwa wananchi ambazo ni mali, vitega uchumi, chakula na kodi kwa walioathirika kwenye makazi. Makazi 47 yatajengwa kuanzia mwezi Julai 2023 kipindi cha miezi 6”,amesema Mhandisi Mwenda.
 
 
“Baada ya kutokea kwa tukio hili taharuki ilitoke lakini serikali imekuwa karibu nasi kulishughulikia, na tunashukuru pia wananchi wamekuwa watulivu. Tangu bwawa lipasuke hatukuwahi kufanya uzalishaji, kwa kweli hili ni pigo kwetu na wafanyakazi wetu. Tunashukuru sana shughuli za uzalishaji kurejea na tunaahidi hadi kufikia Julai 15 tutakuwa tumeanza kufanya kazi”,amesema Mhandisi Mwenda.
 
 
Naye Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mhe. Boniphace Butondo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kishapu Shija Ntelezu na Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Modest Mkude wamesema kuanza kwa uzalishaji katika mgodi huo kutasaidia kurudisha ajira na mapato yaliyokuwa yamepotea huku wakiomba wananchi waendeleee kutoa ushirikiano ili amani na mshikamano uendelee kuwepo.
 
 
Katibu wa Chama cha Wachimbaji wa Wadogo wa Madini Mkoa wa Shinyanga (SHIREMA), Gregory Kigosi wameuomba mgodi wa Almasi Mwadui uwapatie kituo cha maji (DP) katika mgodi wa Ng’wang’holo ambapo mgodi huo umekubali ombi hilo.
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023.
Mhandisi Mwelekezi wa Mradi wa Ujenzi wa bwawa la tope katika mgodi wa Williamson Diamond Limited, Mhandisi Anael Macha akimuonesha eneo la bwawa jipya katika Mgodi wa Mwadui Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023.
Muonekano wa sehemu bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  ( wa kwanza kushoto) akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi wa bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi wa bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  (katikati) akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi wa bwawa jipya la tope laini la mgodini katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
 
 
Mbunge wa Kishapu Mhe. Boniphace Butondo akizungumza wakati Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akitembelea Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Modest Mkude akizungumza wakati Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akitembelea Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Katibu wa Chama cha Wachimbaji wa Wadogo wa Madini Mkoa wa Shinyanga (SHIREMA), Gregory Kigosi  akizungumza wakati Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akitembelea Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kishapu Shija Ntelezu akizungumza wakati Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akitembelea Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) 
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiangalia bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Kishapu Mkoani Shinyanga leo Ijumaa Juni 30,2023.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
 
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi sehemu ya kuchotea maji katika bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi sehemu ya kuchotea maji katika bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  akimwelezea Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kuhusu ujenzi sehemu ya kuchotea maji katika bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza katika eneo la ujenzi sehemu ya kuchotea maji katika bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akiondoka katika eneo la ujenzi sehemu ya kuchotea maji katika bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Sehemu ya bwawa la wananchi Ng’wang’holo katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited)
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Williamson Diamond Ltd, Mhandisi Ayoub Abel Mwenda  akimuonesha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko kitalu cha kuoteshea miti katika Mgodi wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited).
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
 

About the author

Alex Sonna