Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WALIMU WATAKIWA KUWAFUNZA VYEMA WANAFUNZI

Written by Alex Sonna

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe,akizungumza wakati akifunga Mafunzo ya Walimu wa Sayansi na Hisabati yaliyofanyika jijini Arusha.

Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Dkt. Meigaru Mollel,akielezea malengo ya  Mafunzo ya Walimu wa Sayansi na Hisabati yaliyofanyika jijini Arusha.

Mkurugenzi Msaidizi wa Vyuo vya Ualimu Bw. Huruma Mageni,akiipongeza Serikali kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini wakati wa Mafunzo ya Walimu wa Sayansi na Hisabati yaliyofanyika jijini Arusha.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe (hayupo pichani) wakati akifunga Mafunzo ya Walimu wa Sayansi na Hisabati yaliyofanyika jijini Arusha.

Na.Mwandishi Wetu-ARUSHA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe  amewataka Walimu kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wanafunzi na kuwafundisha kwa weledi mkubwa, ili kulisaidia taifa kupata Wataalam wakutosha katika nyanja za Uhandisi, Sayansi na Teknolojia.

Prof. Mdoe ametoa rai hiyo, wakati akifunga Mafunzo ya Walimu wa Sayansi na Hisabati mkoani Arusha, ambapo amesema serikali inahitaji kujenga na kuimarisha uchumi imara, na katika kutekeleza mradi wa SEQUIP,  inatarajia matokeo chanya kutoka kwa walimu hao, baada ya kuwapatia mafunzo ya kuongeza ujuzi na umahiri katika ufundishaji na Ujifunzaji.

“Lengo la mafunzo kwenye mradi wetu ni kuongeza umahiri wa ufundishaji wa  masomo haya, ili kuweza kutoa matokeo chanya, na huko tuendako kuna ushindani zaidi, tunahitaji Wanasayansi mahiri, wabunifu na ambao wanaweza kukabiliana na  mabadiliko ya kidigitali katika ulimwengu wa sasa. Hatuwezi kujenga uchumi imara bila kuwa na Wanasayansi, maana  hawa ndio wanaotusaidia katika sekta mbalimbali za kiuchumi, tusipokuwa na hawa watu tutapata wapi maendeleo, hivyo ni muhimu   kuzingatia na kutekeleza kwa  ukamilifu”  alisema Prof. Mdoe.

Akizungumza kuhusu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, amebainisha kuwa hayo ni Mapinduzi ya kidigitali, hivyo amewasisitiza Walimu kutumia fursa mbalimbali zitakazowawezesha kwenda sambamba na mabadiliko hayo, sanjari na kuwa na mtazamo chanya kutumia Tehema katika ufundishaji.

Ameeleza kuwa serikali kupitia mradi wa SEQUIP inatarajia kutekeleza ujenzi wa Shule mpya za Sekondari 1,000 katika kata ambazo hazina Shule na maeneo ambayo yana wanafunzi wengi ukilinganisha na miundombinu iliyopo.

“Kuanzia mwaka 2022/2023 serikali imejenga Shule mpya 232 kwenye kata zisizo na Shule za Sekondari nchi nzima. Pia fedha zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule nyingine 214. Wakati huo huo serikali inatarajia kujenga Shule mpya 26 za Sekondari za Kitaifa za Wasichana kila mkoa, ambapo ujenzi wa Shule 10 katika mikoa kumi upo hatua za umaliziaji na fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule 16 katika mikoa 16 zimeshatumwa kuanza ujenzi” amebainisha Prof. Mdoe

Ameongeza kuwa serikali imekamilisha upanuzi wa shule kongwe 18 na tayari imetuma fedha kwa ajili ya upanuzi wa shule nyingine 6.

Sanjari na utekelezaji wa shughuli hiyo, katika kuimarisha matumizi ya TEHAMA, serikali imetoa vifaa pamoja na kutenga fedha shilingi bilioni 6 kwa ajili ya kununua vifaa hivyo kwa Shule 500 za Sekondari.

Kwa upande wake Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) Dkt. Meigaru Mollel amesema walimu 1,204 wa Sayansi na Hisabati wamepatiwa mafunzo, ambapo 317 ni walimu wa Bailojia, 312 Fizikia, 324 Hesabu na 250 walimu wa Kemia.

Mwenyekiti wa Wawezeshaji wa Mafunzo hayo Dkt. Emmanuel Sulungu  amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kuendelea kuona umuhimu wa kuboresha miundombinu ya Elimu Nchini pamoja na kujali mahitaji ya walimu kwa kuwapatia mafunzo endelevu kazini, huku akiwataka walimu hao kutekeleza kwa umahiri wa hali ya juu ili kupata matokeo chanya kulingana na thamani ya uwekezaji katika mradi huo.

About the author

Alex Sonna