Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

matbet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI DKT. GWAJIMA ATAKA WATAALAMU WA GEF KUSIMAMIA UTEKELEZAJI KIKAMILIFU

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na washiriki wa mafunzo ya kujengewa uwezo kuhusu Programu ya Kizazi chenye usawa wakati akifungua mafunzo hayo Juni 22, 2023 mjini Morogoro.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ta Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wataalamu kutoka Wizara mbalimbali za kisekta, zinazotekeleza Programu ya Taifa ya Usawa wa kijinsia (GEF), Juni 22, 2023 mkoani Morogoro.

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la CARE International Prudence Masako akieleza lengo la mafunzo ya kuwajengea uwezo wataalamu wa Wizara za kisekta katika utekelezaji wa Programu ya Kizazi chenye usawa(GEF) Juni 22, 2023 mkoani Morogoro.

Washiriki wa mafunzo ya utekelezaji wa Programu ya Usawa wa Kijinsia yanayofanyika mkoani Morogoro, wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo Juni 22, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika picha ya pamoja na washiriki wa mafynzo ya utekelezaji wa ahadi za nchi kwenye Jukwaa la Kizazi chenye usawa baada ya ufunguzi uliofanyika Juni 22, 2023 mkoani Morogoro. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wakili Amon Mpanju na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia Rennie Gondwe. Kulia kwake ni Mkurugenzi mkazi wa Shirika la Care International Prudence Masako na Mkurugenzi wa huduma za Sheria Evelyne Makala.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

Na WMJJWM, MOROGORO

Wataalamu wabobezi wa masuala ya jinsia wameagizwa kutambua masuala yaliyowekewa Ahadi za nchi katika Jukwaa la kizazi chenye Usawa (GEF) ili kutekeleza Programu ya Kizazi chenye Usawa kwa Ufanisi.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa maelekezo hayo mkoani Morogoro Juni 22, 2023, wakati akifungua mafunzo kwa wataalamu hao walioteuliwa kusimamia utekelezaji wa ahadi hizo, zilizotolewa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza maazimio ya Mkutano wa Beijing kuelekea Kizazi chenye usawa.

Waziri Dkt. Gwajima amewataka Wataalamu hao
kuratibu Afua zinazotekelezwa na sekta zao na kuzitolea taarifa kwa wakati ikiwa ni pamoja na
kuwa na taarifa zenye athari chanya kwa sekta zao zitakazoonesha mazuri yaliyotekelezwa na
kuimarisha mawasiliano miongoni mwao.

“Katika utekelezaji wa Programu ya Nchi, majukumu yenu yatakuwa ni kuhakikisha masuala ya Kizazi chenye usawa yanaingizwa katika Mipango na bajeti zenu, kuandaa taarifa za utekelezaji wa maeneo husika, kutoa elimu ya masuala ya GEF kwa Wadau, kuhakikisha kuna miongozo yenye kuzingatia masuala ya jinsia katika bajeti za Wizara na Taasisi zenu”. Amesema Dkt. Gwajima.

Amesema lengo ni kufikia Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi. Hivyo mafunzo hayo yanawajengea uwezo kuhusu Programu, Uratibu na utekelezaji ili kutekeleza malengo na ahadi zilizotolewa na Rais Mhe. Dkt. Samia.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewataka wataalamu hao kuhakikisha wakitoka kwenye mafunzo hayo wanakwenda kuwa chachu ya utekelezaji wa Programu hiyo.

Naye Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Care International lililowezesha mafunzo hayo, Prudence Masako amesema shirika hilo linaunga mkono jitihada za utekelezaji wa ahadi za nchi Rais Samia alipotoa ahadi hizo za kuhakikisha usawa wa kijinsia unafikiwa katika eneo la haki ya usawa wa kiuchumi.

Programu hiyo ya kizazi chenye usawa itakayotekelezwa kwa miaka mitano (2021/22 – 2025/26), inatokana na ahadi ya Rais Mhe. Dkt. Samia katika utekelezaji wa maazimio ya Mkutano wa Beijing, kwenye Jukwaa la Kizazi chenye usawa kwamba atahakikisha usawa wa kijinsia unafikiwa hasa katika eneo la Haki ya kiuchumi.

About the author

Alex Sonna