Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MTATURU ASEMA RAIS SAMIA APEWE MAUA YAKE.

Written by Alex Sonna

 

Na.Alex Sonna-DODOMA
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amesema watanzania wana kila sababu ya kumpa maua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wake.
Aidha,amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoita wenzao chawa kisa wamepongeza  utendaji kazi wa Rais Samia na kusema hata Biblia imeandika kwamba moyo usio na shukrani hukausha mema yote.
Akichangia mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2023/2024,Juni 21,2023,Mtaturu amesema katika uongozi wake kazi kubwa ameifanya ikiwemo kudumisha demokrasia nchini,kuweka uwazi wa serikali,diplomasia na kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo wanajivunia.
“Kwa niaba ya wananchi wa Singida Mashariki walionipigia kura nyingi sana,natamka hadharani kumpongeza Mh Rais Samia kwa kazi kubwa  aliyoifanya katika muda wa miaka miwili, hakika kazi nzuri anayofanya anastahili kupewa maua yake ya kutosha,kwa hakika wale wenye nia njema hawatasita kumpa maua yake,tumpe maua mengi Mh Rais kwa kazi njema anayoifanya,”amesema.
Mtaturu amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu nchini kutotaka watu kupongezana kwa mambo mazuri yanayofanyika jambo ambalo sio sawa.
“Wengi wamefika mahali wanasema ukimpongeza unakuwa wewe ni chawa ,Mh Mwenyekiti hata kwenyeBbiblia imeandikwa kwamba moyo usio na shukrani hukausha mema yote,kwa hiyo watanzania mtu akifanya jambo zuri mpongeze ili afanye kazi zaidi,kwa hiyo Mh Rais anapofanya kazi nzuri uungwana wa kawaida unatakiwa umpongeze kwa sababu amefanya kazi nzuri ,”ameongeza.
Akitolea mfano jimboni kwake kazi nzuri iliyofanyika Mtaturu amesema,Wilaya ya Ikungi kwa ujumla imepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 7 ili kutekeleza miradi ya maendeleo na hiyo inaonyesha kuwa fedha nyingi zimeshuka kutekeleza miradi.
“Tunajivunia sana uongozi wa Rais wetu,tunajivunia kiongozi wetu anapofanya vizuri,kuna maeneo yalikuwa hayana madarasa leo madarasa yapo,kuna maeneo kulikuwa hakuna vituo vya afya leo kuna vituo vya afya,kuna maeneo barabara zilikuwa zimejifunga sasa zimefunguliwa,leo wilaya yetu ya Ikungi tulikuwa hatujawahi kuona lami sasa lami inawekwa,tulikuwa gizani hakuna taa barabarani,tulikuwa tunalala mapema lakini leo hii taa za barabarani zinawekwa,tutakuwa watu wa ajabu kabisa bila ya kumpongeza Mh Rais na kuishukuru serikali,
“Lakini mzee Mkapa alisema kushukuru ni kuomba tena ,tunaamini tunaposhukuru tunamuomba tena Mh Rais atuletee fedha tuweze kuleta maendeleo zaidi ya wananchi,”ameongeza.
Ametumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba kwa kazi nzuri ya kusimamia miradi ya maendeleo na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Thomas Apson na Mkurugenzi wa Ikungi Justice Kijaz kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo na usimamizi wa mapato uliopelekea Halmashauri kupata hati safi.

About the author

Alex Sonna