Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

MBUNGE MTATURU ASHAURI KILIMO KIMUINUE MTANZANIA

Written by Alex Sonna
Na.Alex Sonna-DODOMA
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaruru ameipongeza serikali kwa kuongeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye bajeti ya Kilimo.
Pamoja na pongezi hizo ameiomba serikali kuangalia pendekezo lake la kupunguza ushuru wa forodha kwa mafuta ya kula yanayotoka nje ya nchi kutoka asilimia 35 mpaka 25 na kusema hatua hiyo itawavunja moyo wakulima .
Mtaturu ametoa ombi hilo Juni 21,2023,Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya serikali kwa mwaka 2023/2024.
“Tulikuwa tunalalamika nchi yetu ina upungufu wa mafuta ya kula mpaka tukalazimika kwenda kuagiza nje ya nchi,tumekuwa na fedha nyingi za kigeni tunatumia kwa ajili ya kununua mafuta nje ya nchi,ukaja mkakati kupitia wizara ya kilimo tuzalishe alizeti ya kutosha, tukaleta mbegu wananchi wakawezeshwa na hivi tunavyoongea wananchi wamevuna vya kutosha,sasa hivi bei ya debe ya alizeti imeshuka na wananchi wangu wanalalamika ,wanaomba serikali iwasaidie kuhakikisha kwamba ile alizeti yao iwape faida,
“Nimeangalia hapa namna ambavyo tunapunguza kodi kwenye mafuta yaliyosafishwa kutoka nje kwa asilimia 25 badala ya 35 iambayo tunadhani ingekuwepo ,niombe sana kwenye semi refined tunayo asilimia 10 lakini kwenye Crued Oil tunayo asilimia 0 ili kusaidia viwanda vya ndani,niombe sana kama tunataka kuendana na mpango mzuri wa Wizara ya Kilimo turudishe asilimia 35 kwenye refined ili isaidie kupunguza mazao yanayotoka nje kwa maana ya bidhaa ya nje isiingie ndani,”amesema .
Amesema hatua hiyo itasaidia kuwa na uwezo mkubwa wak uzalisha na kumsaidia mkulima  aliyepo pale kijijini na kuleta maana kubwa kwa uwekezaji wa kilimo cha alizeti na kuongeza mafuta mazuri ya alizeti nchini.
“Kwa hiyo kwa maana ya kumkomboa  mkulima na kwenda na lugha ya pamoja tunaomba sana mpandishe iwe kwa asilimia 35 badala ya 25 ambayo tunaipendekeza ambayo kiukweli itaenda kuua soko, itaenda kuua kilimo cha wananchi wetu wa kawaida ambao sio lengo la serikali ya Rais Samia,niombe sana Waziri unaporudi uje utuhakikishie hilo na wananchi wanasubiri huko nje wanatuambia tusaidieni, tuokoeni tuweze kupata faida ya kilimo chetu,ameeleza.
UNUNUZI WA NDEGE.
Katika suala la ununuzi wa ndege ya mizigo ambayo imepokelewa juzi na Mh Rais ,ameipongeza hatua hiyo kwak uwa inaenda kuongeza uwezo wa kuuza nje moja kwa moja mazao ya mbogamboga na yale ya matunda ikiwemo parachichi ambayo inatakiwa sana duniani.
“Kwenye eneo hili tumekuwa na mpango mzuri wa mazao ya Horticulture kwenye maeneo yetu,Wizara ya Kilimo ina mpango mzuri upande wa horticulture,lakini tumekuwa na changamoto ya vifaa vya kuhifadhia mbogamboga na matunda,tumekuwa na Cold Rooms kwa maana ya Truck ambazo zinasafirisha mazao yetu ili yasiharibike,lakini tumekuwa pia na Cold Room Equipments ambazo zinatakiwa katika maeneo ya mashamba ya wakulima wetu,niombe sana serikali uje na mpango wa kuondoa walau ushuru au kodi  ili kuingiza vile vifaa ambavyo vinaenda kusaidia kilimo cha mbogamboga katika maeneo yetu,
“Hatua hiyi pia itasaidia ndege kupata mzigo mkubwa wa kupeleka nje ya nchi ili tuuze fedha za kigeni na kwak ufanya hivyo fedha za kigeni zitaingia nchini,niombe Mh Waziri ukiweza kufanya hivyo utasaidia kilimo cha wananchi wetu ambao wameamua kujiwekeza kwenye eneo hili lakini hii ndege tunayoinunua itakuwa na maana kubwa ya kuhakikisha tunasafirisha mzigo mkubwa kwenda nje ya nchi,”amesema.

About the author

Alex Sonna