Featured Kitaifa

KINANA ATETA NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana amekutana nakuzungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Juni 21-2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Juni 21-2023.( Picha na Fahadi Siraji)

About the author

mzalendoeditor