Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA BIBLIA SAKILA ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhmisho ya Miaka 40 ya Chuo cha Biblia Sakila kilichopo Arumeru mkoani Arusha, Juni 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia  maelefu ya washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Chuo cha  Biblia Sakila kilichopo Arumeru mkoani Arusha, Juni 20, 2023. Kushoto kwake ni Muasisi wa Chuo hicho, Askofu Dkt. Eliud Issangya na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella. 

Baadhi ya Washiriki wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Chuo cha  Biblia Sakila kilichopo Arumeru mkoani Arusha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Juni 20, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye  Ofisi  Kuu ya Chuo cha Biblia Sakila kuongoza  Maadhimisho ya Miaka 40 ya Chuo hicho kilichopo Arumeru mkoani Arusha, Juni 20, 2023. Katikati ni Muasisi  wa Chuo hicho, Askofu Dkt. Eliud Issangya na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella. 

About the author

mzalendoeditor