Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

casibom

Hacklink panel

norabahis

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

Meritking

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat giriş

sekabet güncel giriş

grandpashabet

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

Featured Michezo

VIFAA VITAKAVYOTUMIKA  MBIO ZA MTEMBEZI MARATHON VYAZINDULIWA RASMI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtembezi Adventure,Samson Samweli  akimkabidhi jezi Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Jabir Shekimweri  kwa ajili ya kukimbia katika  mbio za Mtembezi Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Julai mosi mwaka huu Jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya Mbio za Mtembezi ambazo zinatarajia kufanyika Julai 1,2023 Jijini Dodoma zilizoandaliwa  na Mtembezi Adventure Kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mtembezi Adventures,Samson Samweli,akielezea lengo la mbio za Marathon kufanyika Dodoma ni kutangaza Utalii na Vivutio katika jiji hilo.

Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Jeshi la uhifadhi Ofisi ya TANAPA Dodoma Dkt.Noelia Myonga,akiipongeza Taasisi ya mtembezi Adventures, kwa kufanya Mbio za Marthon kwa lengo la  kuhamasisha Utalii kwa Ubunifu wa hali ya juu.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtembezi Adventure,Samson Samweli  akimkabidhi jezi Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Jeshi la uhifadhi Ofisi ya TANAPA Dodoma Dkt.Noelia Myonga  kwa ajili ya kukimbia katika  mbio za Mtembezi Marathoni zinazotarajiwa kufanyika Julai mosi mwaka huu Jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

MKUU wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri,amezindua Vifaa vya Michezo vitakavyotumika katika Mbio za Mtembezi Marathon 2023  zenye lengo la kuhamasisha utalii wa ndani pamoja kutangaza  vivutio vya utalii vilivyopo Jijini Dodoma.

Akizingumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua amesema kuwa utambulisho  rasmi wa  maandalizi ya Mbio za Mtembezi zitakazofanyika Julai 1,2023 Jijini Dodoma ambazo zimeandaliwa na  Mtembezi Adventure Kwa kushirikiana na Ofisi yake kwa lengo la kuhamasisha Utalii wa Ndani.

Shekimweri amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kuvitangaza vivutio vingi vya kihistoria vilivyopo mkoani hapa huku vingi vikiwa vimebeba historia ya Mkoa wa Dodoma

“Dodoma tuna michoro ya mpango,mapori ya swagaswaga na wanyama wapo,tunataka kupitia mbio hizi za Mtembezi watu wajue Dodoma ni sehemu ya Utalii Kwa kuwa tuna vivutio vya kutosha, watanzania wanatakiwa kuipenda asili yao na kuijua kwa kina hivyo ni wajibu wetu kupitia michezo tuwe  vinara wa kutunza asili ya utanzania,”amesema.

Hata hivyo  amewataka wadau wa michezo nchini kutumia michezo kutangaza vituo vya Utalii vilivyopo Jijini Dodoma ili kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutangaza Utalii wa ndani.

“Niwahamasishe watanzania wenzangu kujiandikishe kwa ajili ya mbio hizi tumejipanga kuzifanya kuwa na kiwango kikubwa,kutakuwa na usalama wa hali ya juu na mimi hizi pia ndio kazi zangu,”amesisitiza Shekimweri

Kwa upande wake,Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mtembezi Adventures,Bw.Samson Samweli  ambao ndio waandaaji wa mbio hizo kwa kushikiana na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema kwa mara ya kwanza mbio hizo zitafanyika mkoani Dodoma Juni mosi mwaka huu  ambapo  zitakuwa  ni za Km 21,10 na 2.5 kwa familia.

Amesema kabla ya mbio  hizo kutakuwa na  semina  kwa ajili ya  kuhamasisha utalii wa ndani pamoja na vivutio vilivyopo mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Shirika la Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA).

“Tumewahi kufanya mbio hizi Bagamoyo, na Tabora Dodoma ndio mara yetu ya kwanza kuja Dodoma, ahadi yetu kwa watanzania ni Mtembezi Adventure kufanya kitu cha kipekee,”amesema Samweli.

Naye Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Jeshi la uhifadhi Ofisi ya TANAPA Dodoma Dkt.Noelia Myonga ,amesema kuwa  Tasisi ya mtembezi Adventures, kuwa ni mfano kwa kuwa kinara kuhamasisha Utalii kwa Ubunifu wa hali ya juu.

Amesema,ni muda mrefu sasa kumekuwa na harakati mbalimbali za kuhamasisha utalii lakini Kwa Mkoa wa Dodoma juhudi zaidi Bado zinahitajika na kusema kuwa kupitia mbio hizo itasaidia watanzania kutilia mkazo mambo yote yanayohusu utalii na uhifadhi. .

” Hapa Kikuyu mbali na kuwepo kwa eneo la tembo,ukiingia ndani ya chuo kikuu cha St.Jonh  kuna mti mkubwa uliotumika kunyongea wahalifu kipindi Cha utumwa lakini ukiwauliza wanaosoma pale hawajui chochote kuhusu mti huo,”amesema Dkt. Myonga 

About the author

Alex Sonna