Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APOKEA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 45 KUTOKA BENKI YA NMB

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akipokea gawio la Sh 45, 485, 640, 250 katika  hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB yaliofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akizungumza katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB yoliofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani akizindua miaka  25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB katika hafla  iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya NMB, viongozi wa dini pamoja wateja wa Benki ya NMB wakiwa katika katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya  Mafanikio ya Benki ya NMB iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor