Featured Kitaifa

MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA TAARIFA ZA ANWANI ZA MAKAZI KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

Written by mzalendoeditor
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendesha Mafunzo kwa Wasimamizi wa zoezi la uhakiki wa Taarifa za anwani za Makazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

 

Zoezi hilo limeanza leo Juni 17,2023 na kufikia tamati Juni 27,2023 katika Wilaya hiyo ya Ubungo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wataalamu kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakitoa mafunzo kwa Wasimamizi wa zoezi la uhakiki wa Taarifa za anwani za Makazi katika Halmashauri ya Manispaa ya UbungoWasimamizi wa zoezi la uhakiki wa Taarifa za anwani za Makazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.wakiwa kwenye mafunzo ambayo yanatolewa naWizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

 

About the author

mzalendoeditor